PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni hivi CCM tangu kizaliwe hapo 25.02.1977 hakikuwa na akili ya kufungua matawi Nje yanchi? CDM wameanza na zoezi hilo nao wanafuata shame on them hii ni aibu kweli kweli.
 
nyie sio wananchi wa tanzania. mnaonyesha sio wazalendo na ni wachumia tumbo msioujua umaskini wa watanzania. hatuwatambui sisi;
 
Bilal+CCM+246.JPG


Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!
Asanteni jamani kwa picha zinazoonyesha wazi, "Mfa maji haachi kutapatapa"
 


Ulaji wa Taifa la Tanganyika huo... Mapesa ya MADINI na GAS yananenepesa Wana DMV...

Waache tu wasigombane wakaitiana MAPOLISI...


watu wengi walitia fitna kwamba hili jambo halitafanikiwa.. mkutano hautakuwa na watu! wana DMV hawana umoja!.. sasa wametahayari...

 
Ki-ukweli haya matawi ukiyaangialia ktk proactiavity angle ni mazuri na yanapaswa kuendelezwa kwa lengo la kuwafanya diaspora wetu wawe na michango yenye tija kwa taifa.

Ila sasa ukigeukia kwa ccm sio proactivity hiyo bali ni polarization. Hawachelewi ku-misuse anything regardless of the long outcome!
 
safi sana kwani kila kitu kinawezekana sio lazima kuiga ila ni kuonyesha kuwa na wao wapo, wanaiwakilisha CCM huko waliko
 
upo dunia ipi? mpaka sasa hufahamu Sugu alikuwa nana na sasa?

Nikuulize wewe na huyo aliyeleta dai la kuvaa hereni; mhusika ni promota wa mziki sisi hatuoni ajabu yeye kuvaa hereni, zaidi ya yote yeye ni mwanachama wa kawaida Sugu nilikugusia tu ili kuwakumbusha sababu wanachadema ni wasahaulifu sana.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
:yawn: KUMBE WENGI SIO WATZ. :nerd: NILIDHANI NA HAO WANAWAKE WALIKAA UCHI NI WATZ. DU! :sleepy:WAGENI NI WENGI, CHEKI NA HILO DUME LA MBEGU LILILOVAA HERENI, NILIDHANI NA YEYE NI MTZ. :shut-mouth: mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!

Huyo aliyevaa hereni mfupi aliyeko katikati ni mtanzania nafikiri last name yake ni Mukama. Sijui ni mtoto wa Mukama yule wa CCM?
 



watu wengi walitia fitna kwamba hili jambo halitafanikiwa.. mkutano hautakuwa na watu! wana DMV hawana umoja!.. sasa wametahayari...


Nafikiri kama mtu unawajua baadhi ya waliotokea kwenye picha hapo wengi wamefuata ulaji. Wakereketwa wa CCM damu damu ni wachache sana-(wale ambao wazazi wao ni viongozi ndio wakereketwa hasaa); lakini hao wengine ni ulaji tu. Hao wa ubalozini ni lazima walinde vibarua vyao hamna jinsi.
 
Ccm mnawachakaza sana dada zetu. Kinachoonekana hapo ni kwamba mmepiga viti maalum vya tz mpaka mmechoka mmeamua kutafuta viti maalum vya ng'ambo. Naona hapo wadada mnawalewesha kisha muwasogeze mnako wasogezea. Picha full mipasho
 



watu wengi walitia fitna kwamba hili jambo halitafanikiwa.. mkutano hautakuwa na watu! wana DMV hawana umoja!.. sasa wametahayari...



Haujui Wangapi Wameogopa kuhudhuria, Unaona waliohudhuria kina LIGATE wote hao Mambo yao SAFI wana residence

Permit a while back; Wengi Wangelijaza hilo kumbi wa DC pekee; kama kungekuwa hakuna huo MTISHIO; hao ni wa DC; NY na

COLUMBUS... na Ina Maana DIAMOND hakupata VISA?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom