PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

Ufunguzi ulifana sana tuna subiri wa Chadema
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hi Godwinko, yaani hata mimi nilitaka kuuliza mbona simuoni Ballali??? hakuwepo?? Ila mhhh nadhani jamaa bado yuko mafichoni...

Hawa jamaa wanaoishangiliaaa CCM wengi wao ni wabeba mabox na hawajui ndugu zao wanavyosota huku Tanzania, wao wamekimbiliaaa kubeba mabox USA, hawana mpango wowote..
 
CCM+DMV+123.JPG


RITZ hebu tujuze huyu jamaa wenye hereni vipi? tukisema NyinyiEM, mnaendekeza u-kamerun unanuna?
huyu nga-pu vipi?

Kama hereni ni hoja mbona Sugu pia alikuwa anavaa?
Chama
Gongo la mbotoDSM
 

CCM+DMV+177.JPG

MH. Abdulhaman Kinana akiingia ukumbini uku akiongozana na viongozi wa tawi la CCM hapa DC.
CCM+DMV+176.JPG



MH. Abdulhaman Kinana akipiga makofi uku hakiingia ukumbuni hapo tayari kwa ufunguzi wa tawi la CCM, watu wengi walijitokeza katika ufunguzi huo na kujipatia kadi za chama chao tawala cha CCM.
CCM+DMV+387.JPG

Picha ya pamoja ya viongozi wote wa matawi mengine ya CCM kutoka sehemu tofauti za nje ya DC kama Minnesota kiongozi wake alikuwepo, North Carolina, New York na Taxas.
CCM+DMV+212.JPG

Meza kuu na ya viongozi wakiwa wametulia kabisa wakisikiriza lisara lilikuwa lina sumwa ukumbuni hapo
CCM+DMV+292.JPG

Loveness mwenyeketi wa tawi la CCM, DC akiongea maneno mawili matatu kabla ya kumkaribisha mgeni rasm katikia shughuri hizo za ufunguzi wa tawi la CCM hapa DC.


CCM+DMV+298.JPG

MH. Abdulahaman Kinana akiongea baada ya kukaribishwa na mwenyekiti wa tawi la CCM, DC Loveness. Kwa picha zaidi bofya ready more.

CCM+DMV+308.JPG


CCM+DMV+371.JPG


CCM+DMV+088.JPG


CCM+DMV+219.JPG


CCM+DMV+234.JPG


CCM+DMV+095.JPG


CCM+DMV+327.JPG


CCM+DMV+287.JPG




CCM+DMV+124.JPG


CCM+DMV+435.JPG


CCM+DMV+273.JPG


CCM+DMV+090.JPG


CCM+DMV+184.JPG




CCM+DMV+420.JPG


CCM+DMV+080.JPG




CCM+DMV+123.JPG


CCM+DMV+319.JPG




Bilal+CCM+207.JPG


Bilal+CCM+186.JPG


CCM+DMV+176.JPG


Bilal+CCM+246.JPG


Bilal+CCM+204.JPG


Bilal+CCM+216.JPG


Bilal+CCM+174.JPG


Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog
Kumbe Mamiss ndio mashabiki wa magamba washington DC. Haina shida tunajua ni vibustani waliopelekwa huko kwa fedha za ufisadi. Wengine ni wakimbiza mwenge walioponea Chupchup kuondoka na "ngoma".
Haina presha tunasema tena wote kunjeni ngumi nikisema "peoples" mjibu "Poweeer" mkirudi huku baada ya vishahada mlivyohongwa mtakuta CDM ndani ya jumba lile paleee magogoni!!
 
Huu ulikuwa mkutano wa kisiasa au fashion show?
CCM+DMV+435.JPG


Na hapa je?? huu ni mkutano au Party? au disco au kitu gani.....

Bilal+CCM+186.JPG
 
Mie nilijua huko ulaya ushamba wa kutundika matambara ukutani uliwaepuka? Kama una malaria +1 tu unaweza ku-puke nyongo ya kutosha kufanyia utafiti!
Ya kushonesha migauni yenye picha ya mtu ndo kiboko yake, mh!
Hayo marangi siyapendi kabisa mimi.
 
Upuuzi mtupu hakuna faida ya kufungua matawi Ulaya na Marekani wakati Tanzania bado kuna watu wengi hawana ufahamu wa kujua haki zao za kidemokrasia mngeanza na hawa kwanza sio kukimbilia Marekani na Ulaya...huu ujumbe nawapa Chadema na CCM acheni kuwaandaa wananchi tatizo la Watanzania sio matawi.
 
Mbona sijamuona DR.BALALI au yeye baada ya kuwapa pesa za EPA hawaoni umuhimu wake?
 
1. Kumbe Dr. Balali kweli hajafa. Nimemuona kwenye picha mojawapo.

2. Sorry niulize: Kwani hao wadada ni wa kikundi gani cha taarab?
 
Mie nilijua huko ulaya ushamba wa kutundika matambara ukutani uliwaepuka? Kama una malaria +1 tu unaweza ku-puke nyongo ya kutosha kufanyia utafiti!
Ya kushonesha migauni yenye picha ya mtu ndo kiboko yake, mh!

Hivi Marekani ni Ulaya nilikuwa sifahamu tunashukuru kwa kutufahamisha.
 
Mie nilijua huko ulaya ushamba wa kutundika matambara ukutani uliwaepuka? Kama una malaria +1 tu unaweza ku-puke nyongo ya kutosha kufanyia utafiti!
Ya kushonesha migauni yenye picha ya mtu ndo kiboko yake, mh!
Aseeee........!!:spy:
 
attachment.php


Angalia jamaa linavyotathmini hapo, ha ha haaaaaa!!!!!!!!


huyu si ndio yule 'katibu mwenezi' wa tawi aliyekuwa akibwabwaja pumba kewnye video iliyokuwa posted kwenye you tube wiki chache zilizopita? Duh!!!
 
CCM+DMV+420.JPG


Kweli NYINYIEM mnatisha, safi sana chama cha wakulima na wafanyakaz? hata alama za chama hawakijui wamebaki kukenua meno na kuonyesha mapaja ovyoo na nguo zao za kariakoo.

Viti maalumu watarajiwa hawa!! Subiri 2015
 
Back
Top Bottom