PICHA; Shamrashamra baada ya hukumu ya JJ Mnyika!

Kushinda kesi ni kitu kimoja, ila kiukweli huyu jamaa hajafanya chochote jimboni kwake, ajipange vizuri, huu ni ushauri wa bure tunampa.:israel::israel:
Kweli kabisa manake wabunge wote wa ccm wamefanya chochote kwenye majimbo yao....hata JK ametimiza ahadi zake zote alizotuahidi watanzania!!!!
 
Asante kwa kutuletea picha. Hongera mbunge wangu Mnyika, kura yangu haikupotea bure!!!

Tiba
 
Kushinda kesi ni kitu kimoja, ila kiukweli huyu jamaa hajafanya chochote jimboni kwake, ajipange vizuri, huu ni ushauri wa bure tunampa.:israel::israel:

ndugu acha dharau.unataka kutuaminisha kwamba piga kura wooooote wa jimbo la UBUNGO ni mbumbu na hawaelewi kinachofanywa na HON.J.J.MNYIKA.coz angelikuwa hajafanya jambo lolote halaiki iliyoendo mahakamani leo kushuhudia hukumu ya kesi yake,na hata baada ya kushinda kesi wakambeba na kuondoka naye kurudi jimboni ubungo imetoka wapi?
 
Udom tunakupongeza sana kamanda wetu Johm Mnyika wewe nijembe. Wasira anajisikiaje leo maana yeye jana alifukuzwa na wananchi wake kwenye mkutano.

Hukumu ya Mnyika imetoka wewe unamkumbuka Wasira, kweli nimeamini WASIRA tishio la CHADEMA, hata huko Bunda walikuwa wafuasi wa CDM waliojipanga kuzomea ili media ichukue coverage ila wana jimbo tunajua WASIRA kafanya nini.
Pia Wasira sio mbunge wa Ubungo, kulikoni wewe UMKUMBUKE? hahahahahahaha!
VIVA TYSON unatisha aisee!
 
Nimeipenda namna Mnyika alivyokuwa karibu na mpinzani wake wakati wakisubiri hukumu, hakika huo ndiyo ukomavu wa kisiasa, Pole Hawa na pole CCM, tukiendelea hivi tunaweza kuvuka salama!
 
Safi sana! Jana nilipata kupitia mitandao kuwa eti hukumu imevuja na kuwa Mnyika atabwagwa ubunge! Kumbe walikuwa ni watu wasioitakia mema CDM na inji hii kwa ujumla! Nimefurahi sana. Mbunge wangu Mnyika hongera sana na Mungu azidi kukubariki na kukujalia uhodari wa kupambana na wanaoifisidi inji hii.
 
Hukumu ya Mnyika imetoka wewe unamkumbuka Wasira, kweli nimeamini WASIRA tishio la CHADEMA, hata huko Bunda walikuwa wafuasi wa CDM waliojipanga kuzomea ili media ichukue coverage ila wana jimbo tunajua WASIRA kafanya nini.
Pia Wasira sio mbunge wa Ubungo, kulikoni wewe UMKUMBUKE? hahahahahahaha!
VIVA TYSON unatisha aisee!
Umeonaeeee! Kwa ile sura yake...........kwa kweli Nyara inatisha! LOL.
 
Mzee Makamba ndiye aliwaingiza chaka la kufungua kesi zisokuwa na kichwa wala miguu, na Kafumu kule Igunga presha inapanda presha inashuka.Yaani raha tupu magamba yanavyopukutika.
 
wacha kijana aendelee kuwepo mjengoni hawa anaoneekana anachokifanya
wangeondoka kina wa hasira
komba make wanaenda kuchapa usingizi tu mule alaaaa na wengine
kazi kuneng'eneka na vitoto under 18 ndo maana yanalala tuu

gooo john
 
Back
Top Bottom