Mnyika: Naiagiza Bavicha ifufue Idara ya Chemchem yenye Watoto wa umri wa miaka 12-17 Ili tuanze kuwaandaa Kiuongozi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,996
142,010
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema anashangaa CCM kuendeleza mambo ya Chipukizi kwa sababu yalishafutwa Kisheria mwaka 2019 pamoja na vikosi Vya Ulinzi Vya chama

Mnyika amesema kufuatia Msajili wa Vyama Vya Siasa kukaa kimya anaiagiza Bavicha kurejesha Idara ya Watoto Wafuasi wa Chadema yaani Chemchem Ili waendelee kuwaandaa kwa ajili ya kushika Madaraka siku zijazo

Mnyika amesema Watoto wa miaka 12-17 waanze kusajiliwa kama Chemchem ya Uongozi

Source Mwananchi

I wish you a Merry Christmas 😀
 
Mtoto wa Erythrocyte lazima awe mwenyekiti wa Chemchem Kyela. Anakula za wanangu wote wa Ipinda
 
Ila tu CCM isikimbilie kwa msajiri kama walivyofanya walipoanza kunda majeshi na CHADEMA wakamaliza .
red1.jpg

red2.jpg
red1.jpg
red2.jpg
green1.png
 
Back
Top Bottom