Picha: Rais Kikwete ashiriki maombolezo ya Regia Mtema

Katika nafasi kama hizi tunatanguliza wakuu kwamba wanaongoza maombolezo, ni kitu cha kawaidfa kutafsirika vizuri tu. Asante Geza Ulole
Asante mzee wa Usoga kwa kusahau magamba na kuja kwenye msiba wetu.Ila usisahau hayati Regia alipigania sana katiba mpya ya watanzania wote, muenzi tafadhali. RIP mpendwa Regia
 
at+3.jpg
aee.jpg

at+1.jpg


at+2.jpg
Rais Kikwete akiambatana na baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali kwenye maombolezo ya hayati mbunge Regina Mtema kwenye nyumba ya familia hiyo jijini Dar es Salaam

r+2.jpg


Mzee Estalus Mtema baba wa marehemu Regia Mtema (katikati)

r+7.jpg

Dk.Slaa akiwa maeneo ya nyumbani kwao Regia Mtema
r+4.jpg

Dk.Slaa akiongea na Mama yake na Zitto Shida Salum na Muhonga Ruhwanya
r+3.jpg
r+e.jpg
r+f.jpg
r+h.jpg
ri.jpg
rj.jpg
r+a.jpg
Waimbaji wa Karismatiki Katoliki wakiimba nyimbo za maombolezo
r.jpg

Niliwahi kuandika thread moja humu kuwa katika marais wote wa Tanzania , JK ameonyesha sana kuwa karibu na matukio ya Watanzania ya misiba, majanga na raha. Huu ni utu alio nao na huyafanya haya bila kubagua
 
Wanakwepana hao, lakini nadhani Dr. Slaa anajitahidi sana kumkwepa Kikwete kwa visingizio kadhaa vya kuwajibika, lakini ipo siku watake wasitake watashikana mikono tu na hapo picha zitapamba magazeti. Cha kumshauri Dr. Slaa ajitahidi kuwa flexable na kusamehe kwani haya yaliyotokea ni mambo ya kawaida katika ulingo wa masumbwi ya kisiasa.
Kwa wezi ni mambo ya kawaida, lakini kwa wanaoibiwa hayawezi kuwa mambo ya kawaida. Kaza buti Slaa. R.I.P dada Regia!
 
Watu unawajali kwenye misiba? kwanini usijali haki yao ya kuchagua viongozi badala yake mnawaibia watu kura!, kwanini usiwajali wanapotaka utaratibu unaofaa wa kuandaa katiba mpya badala yake unakumbatia kila kitu ili uchakachue vizuri. Tuache ushabiki kikwete anafaa kuwa kwenye vitengo vya socialization lakini sio kwenye majukumu mazito kama urais ndo maana anasema hajui kwanini wananchi ni maskini. Kawalinda mafisadi kupita kiwango halafu mnasema anajali watu. watu gani? raia au mafisadi wachache waliomuweka kwenye system?
 
Picha hizi sijazipenda kweye maombolezo ya hayati dada yetu Rigia Mtema

Najua wengi hapa watanifutulia macho, lakini watanzania tunatakiwa tuwe na upeo wa kutambua na kuchanganua nafasi za matukio. Hapa si masuala ya chama, ni msiba ambao unatuhusu watanzania wote. Alivyovaa Freeman Mbowe safi kabisa ni vazi la msiba. Picha ya kikwete unamwona kijana kwa mbali na pendera ya Chadema kajifungia huu ni mtazamo finyu, hapa ni msiba wetu sote.

Hali kadhalika Dr. Slaa anatakiwa awe na mabadiliko ya mivao kutofautisha nafasi kama hizi. Vazi hilo hilo ofisini, msibani, kanisani, hotelini nk. hapana, nitaendelea kutoa somo hadi tutakapokuwa mstari mmoja.

Kwenye bendera sikubaliani na wewe, ingekua kada wa CCM, ingeona njano na kijani, kuna ubaya gani Chdm wakiweka bendera yao kwa mwanachama wao tena mbunge, sio mwanachana uchwara...
 
katika kitu ambacho kimenifurahisha ktk msiba huu,ni jinsi wabunge na wananchi walivyoweka pembeni utofauti wao wa vyama,tumekuwa wamoja pasi shaka kuwa kama mwelekeo huu ungekuwa hata ktk maswala ya maendeleo basi Tz tungekuwa mbari
Nawapongeza watz na tutambue kuwa wtz kama ukifanya jema watakuunga mkono,ebu oneni msiba huu ulivyo gusa hisia za wengi,msiba umeunganisha nyoyo za akina engmtolera, maleria sugu,faiza na wanaCDM,CUF CCM, safi sana huu ndio umoja tunao utaka

tuzidi kumwombea mpiganaji mwenzetu popote pale alipo kwa wakati huu
Msifanye kazi ya kusisitiza habari ya kuondoa tofauti zetu bwana, unataka kuharibu msiba nini. Kwa jinsi uchaguzi wa 2010 ulivyoenda, igunga ulivyoenda, meya wa kichina wa arusha na swala la katiba mpya usitarajie kuondoa tofauti hapo. Onesha picha nyingine inayoonesha kikwete anasalimiana na viongozi wa chadema zaidi ya mbowe. Acha tumsindikize mpendwa wetu kwa amani bwana sio unatukumbusha mambo ya ajabu hapa. R.I.P dada Regia.
 
Hapa nakuunga Mkono kabisa mdau. Basi na Nape na JK wangeingia na kijani na njano si pasingetosha...all in all RIP Regia
Kwani kwenye misiba ya ccm huwa unaona bendera za chadema? Mbona mwanaccm akifa hata nguo anavalishwa za bendera ya ccm?
 
Una kiwango cha juu katika mwono wako, u mtume wa kuigwa, hii ni falsafa adimu sana kwa wengi.

Nimekupata na umenipata kwa undani kabisa, ndiyo tunayotaka si visa. Binadamu hubadilika kitabia na matendo kuendana na msukumo wa wakati na mazingira, na hata yaliyojilia ni matokeo ya wakati na yatapita.

Huwezi Jua safari za Clinton na Bush wamemshauri vipi na unaweza kuanza kuona dalili kwa mbali.
Kwahiyo wee unataka tuendelee kuwasamehe kila baada ya kuchakachua uchaguzi, kwa kigezo kuwa wanabadilika mara baada ya kuapishwa? Kikwete hawezi kuhesabiwa amebadilika kwa kuwatembelea waathirika wa mafuriko na misiba, kikwete ndo mafia namba moja kwa sasa. Slaa anajua ndo maana hawezi kuwa mnafiki kupeana mkono na mtu ambaye anajua mipango yake ya uonevu.
 
Mkuu mbona CUF naona kama wamejitenga?
Hao wote wamekuja baada ya kutangazwa kuwa mkubwa wao atakuwepo bila hivyo usingemuona hata mtu kutoka CCM,si siri Raisi Kikwete kama mtu binafsi ana utu ambao wakubwa wenzake hawana,penye pongezi wacha tutoe pongezi kama binadamu hakuna asiye na mapungufu,kwa hilo namfagilia raisi Kikwete ni raisi ambaye amejishusha sana.Naamini kabisa asingetangaza kwenda kuwapa pole wafiwa hao wote msingewaona
 
Picha hizi sijazipenda kweye maombolezo ya hayati dada yetu Rigia Mtema
r+b.jpg
r+7.jpg
at+3.jpg


Najua wengi hapa watanifutulia macho, lakini watanzania tunatakiwa tuwe na upeo wa kutambua na kuchanganua nafasi za matukio. Hapa si masuala ya chama, ni msiba ambao unatuhusu watanzania wote. Alivyovaa Freeman Mbowe safi kabisa ni vazi la msiba. Picha ya kikwete unamwona kijana kwa mbali na pendera ya Chadema kajifungia huu ni mtazamo finyu, hapa ni msiba wetu sote.

Hali kadhalika Dr. Slaa anatakiwa awe na mabadiliko ya mivao kutofautisha nafasi kama hizi. Vazi hilo hilo ofisini, msibani, kanisani, hotelini nk. hapana, nitaendelea kutoa somo hadi tutakapokuwa mstari mmoja.

Nani alikuambia vazi Jeusi ndio sare ya Msiba?

Huu Msiba upo katika Ngazi tatu. Ya kwanza ni familia ya Marehemu Kimsingi huu misba ni wao. Ngazi ya pili ni wale alokuwa anafanya kazi nao pamoja na marafiki zake. hapo ndipo Chadema inapoingia. Kuvaa kichama au kuweka Alama za Chama ni kuonesha jinsi Gani walivyoheshimu Mchango wake ndani ya Chama na Kuwa wapo pamoja na Familia yake kama Chama. Marafiki wanapokuja kama marafiki hapo watavaa vyovyote lakini wengine wamekuja kwenye msiba tu kwa sababu marehemu alikuwa mwanachama mwenzano.

Binafsi napogeza Codes za Chama kuonekana hapo msibani.
 
DSN, natumia kamchina, nitadadavua maandiko nikikaa kwenye pc kuzijibu hoja zako. ingawa umekimbia swali umejitutumua sana kujaribu kumvisha utukufu kikwete ambaye damu za watu zamlilia kuzimu, wakiwemo waliopigwa risasi arusha, wafao kwa kemikali inayotiririshwa na washkaji wa kikwete kwenye mto tigite, wanaokufa kwa kukosa huduma stahiki mahospitalini au kwa kukatika umeme na tiba kuchelewa, mpaka twiga wanamlaani kikwete, kahudhuria msibani ghafla kawa malaika? hujanishawishi bado! nauliza swali tena, P. W. BOTHA, wakati wa zama zake, akihudhuria maziko ya mpigania uhuru wa ANC aliyekufa kwa malaria kwenye kambi ya mazimbu, itamfanya awe mtaifa sanaaaa na kumuondolea ukaburu????

Wewe nawe usitake kutuletea habari zako za lawama kama bibi kizee, lawama hadi msibani? Hebu acha tumzike kwanza dada yetu, lawama zako peleka kule.
 
DSN, nakukumbusha, kwa kuwa nafahamu wajua kuwa haikuwa hiyari ya makaburu kuomba msamaha, pana harufu ya dunia ya tamthilia, hebu ona, MADIBA kwa upande mmoja aheshimiwa sana si tu na wapiganaji wa kizulu bali pia waafrika kusini wote na dunia kwa ujumla, upande wa pili anapangwa TUTU, kiongozi wa kiroho anayekubalika mpaka na wapagani saikolojia inaelekeza hapo walipatwa na fadhaa na kukubali yaishe baada ya watu wanaowaheshimu kuimaliza tamthilia kwa staili ya mwizi na muibiwaji kulia mbele ya hadhara. MIMI naamini ni busara mfano huo ilitumika baada ya kura yangu kutendwa na tume uchaguzi 2010 na Dr. SLAA alijua na bado anajua jambo hilo halijawafurahisha watanganyika wengi, ingetokea Dr. SLAA akatamka sentesi tata kuna watu wangekufa kudai thamani ya kura zao kusomeka, kwa hiyo tambua kuwa pasingekuwa mahali pazuri tena pa kuishi kama hukumu ambayo MANDELA & TUTU ingetafsirika kama mbwai, mbwai i.e liwalo na liwe nasisi mpaka kieleweke!!!!!! na watu wakaugulia uamuzi lakini wakatii kuiga kusamehe!! mkuu wa mkoa wa mbeya alishindwa kuwatuliza people who went rampage! kwa sababu hawamuheshimu!!! but SUGU DID!!!!! and that is not GODLY thing. sitegemei kama watu wangeunga mkono msamaha kama ungetangazwa na woria chief MANGOSUTU BUTELEZI kutokana na nature yake i.e vita, usichanganye na heshima. NARUDIA TENA HAITUSAIDI PILATO KUHUDHURIA MAZISHI YA YESHUA ALIYEMHUKUMU AULIWE!!!!!!
 
Wewe nawe usitake kutuletea habari zako za lawama kama bibi kizee, lawama hadi msibani? Hebu acha tumzike kwanza dada yetu, lawama zako peleka kule.

Historia inaeleza kuwa kuna wakati misibani watu huchapana makonde, wewe unashangaa lawama!!! funga bakuli lako nitakupelekea wash-gel!! R.I.P REGIA
 
1.Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete
2.Waziri mkuu Mizengo Pinda
3.spika wa bunge Anne makinda

4.Naibu spika Job Ndugai

5.kiongozi wa upinzani bungeni na mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe

6.waziri wa mahusiano na uratibu stephen wassira

7.waziri wa utawala bora mathias chikawe

8.katibu mkuu wa chadema Dr wilbrod slaa

9Wabunge mbalimbali na karibu wote wa chadema-zito,mnyika,kafulila,mdee,mnyika etc
10.Katibu mwenezi wa CCM NAPE NNAUYE.
11.wadau mbalimbali pamoja na wana JF
MY TAKE; TANZANIA NI MOJA NA WATANZANIA NI WAMOJA BILA KUJALI ITIKADI ZA VYAMA,DINI NA MAKABILA YAO.
REST IN PEACE DADA REJIA.
Source.wadau mbalimbali wa uhakika wanaoishi maeneo hayo.

thats truee!!!
 
Historia inaeleza kuwa kuna wakati misibani watu huchapana makonde, wewe unashangaa lawama!!! funga bakuli lako nitakupelekea wash-gel!! R.I.P REGIA

Na kweli watu kama wewe mkija misibani huku kwetu na malawama ya kibibi dawa yenu ni kutiwa makonde tuu.
Kama unajidai una bifu sana na JK andika thread yako siyo kudandia za watu ili kupoteza uelekeo wake.
Wanafiki kama wewe ndo mnaoniboa hapa jukwaani, unaleta misemo ilojaa umbea na kukariri wakati watu tunaomboleza.
RIP dada Regia!
 
1.rais wa tanzania jakaya mrisho kikwete
2.waziri mkuu mizengo pinda
3.spika wa bunge anne makinda

4.naibu spika job ndugai

5.kiongozi wa upinzani bungeni na mwenyekiti wa chadema freeman mbowe

6.waziri wa mahusiano na uratibu stephen wassira

7.waziri wa utawala bora mathias chikawe

8.katibu mkuu wa chadema dr wilbrod slaa

9wabunge mbalimbali na karibu wote wa chadema-zito,mnyika,kafulila,mdee,mnyika etc
10.katibu mwenezi wa ccm nape nnauye.
11.wadau mbalimbali pamoja na wana jf
my take; tanzania ni moja na watanzania ni wamoja bila kujali itikadi za vyama,dini na makabila yao.
Rest in peace dada rejia.
Source.wadau mbalimbali wa uhakika wanaoishi maeneo hayo.
hapa mkuu unajaribu kufanya nini? Hata msiba mnaweka propaganda za ccmavi?
 
Back
Top Bottom