Picha: Rais Kikwete ashiriki maombolezo ya Regia Mtema

inaonyesha tu wamoja bt sijawaona hawa muhimu lawasa ngoyai na aziz rostam sijui wapo wapi?

Lingekuwa tukio la CCM au Kanisani Ngoyai angekuwa kimbelembele kabisa kwa vile ni kusaka kura za urais, lakini pale msiba wa memba wa Chadema hauna siha ya urais kwake.
 
Na kweli watu kama wewe mkija misibani huku kwetu na malawama ya kibibi dawa yenu ni kutiwa makonde tuu.
Kama unajidai una bifu sana na JK andika thread yako siyo kudandia za watu ili kupoteza uelekeo wake.
Wanafiki kama wewe ndo mnaoniboa hapa jukwaani, unaleta misemo ilojaa umbea na kukariri wakati watu tunaomboleza.
RIP dada Regia!

Pole mkuu, hujitambui, ukirudia kusoma mistari yako taratibu utaanza kujielewa, sisi tunaomboleza msiba wa mpendwa wetu REGIA R.I.P kikwete wa nini? kwani kuna kusaini mswada huko?
 
Pole mkuu, hujitambui, ukirudia kusoma mistari yako taratibu utaanza kujielewa, sisi tunaomboleza msiba wa mpendwa wetu REGIA R.I.P kikwete wa nini? kwani kuna kusaini mswada huko?

Kama imekuuma sana JK kwenda kwenye msiba wa dada Regia jiue tuone kweli umekasirika.
Jifunze kuwa fair sometimes siyo kutekwa na machuki yako hadi pasipotakiwa. Binafsi sina love na JK lakini nimefurahi kujua tuko naye pamoja. Asingekuja ungesikia wambea kama wewe wakilaumu kwamba ametutenga.
NENDA DADA REGIA NENDA, MBELE YETU UMETANGULIA, NYUMA YAKO TWAKUFATIA.
 
Watu unawajali kwenye misiba? kwanini usijali haki yao ya kuchagua viongozi badala yake mnawaibia watu kura!, kwanini usiwajali wanapotaka utaratibu unaofaa wa kuandaa katiba mpya badala yake unakumbatia kila kitu ili uchakachue vizuri. Tuache ushabiki kikwete anafaa kuwa kwenye vitengo vya socialization lakini sio kwenye majukumu mazito kama urais ndo maana anasema hajui kwanini wananchi ni maskini. Kawalinda mafisadi kupita kiwango halafu mnasema anajali watu. watu gani? raia au mafisadi wachache waliomuweka kwenye system?

Je wajua Mkapa alihudhuria misiba mingapi kipindi cha uongozi wake?

Mnyonge mnyyonge lakin haki yake mpeni,Hakika JK ni wa kusifiwa kwa hilo na ni mtu wa watu.

 
ikumbukwe kila nafsi itaonja mauti,Ee mwenyezi Mungu mrehemu Regia Mtema.Ee mwnyezi Mungu mweza wa yote tuinulie mwingine jasiri kama Regia ktk ukombozi wa taifa la watu wako Tanzania,AMINA
 
Just have a look on the pics below kwenye msiba wa balozi Athumani Mhina

2qixxc1.jpg




etxmdl.jpg

Mkuu Thanks kwa Ushahid Maridhawa ambao kimsingi una Prove kuwa Mleta Thread atakuwa alikurupuka ama kwa kusukummwa na Chuki Dhidi ya Chadema/ Dr Slaa ama ndo kama vile wasemavyo Baadhi ya Wana JF kuwa ukiwa na Mapenzi na CCM basi automaticaly hata Brain yako inapungua uwezo wa Kufikiri na Kutenda, huenda mleta mada ni Mmoja wa waathirika wa CCM
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom