Huyu Mzee uprofffessor haujamsaidia kitu ni bure kabisa
Ukiona Professa anakubalika kwa Ma Mbulululu kama wewe Jua kaununua huyo!
Huyu Mzee uprofffessor haujamsaidia kitu ni bure kabisa
Akimfukuza Seif ndio mwisho wa CUF. 2020 hawapati hata mbunge mmoja. yeye mwenyewe na uenyekti wake hajawahi kupata hata kura laki tano nchi hii toka aanze kugombea urais.Piga kaz prof usiishie hapo fukuza mtatiro na seif wake mara moja
Kuna vitu ambavyo ni mwiko kuviongea japo vinaonekana dhahiri: angalia jinsi alivyovaa Prof. na ujiulize Kama kuna kundi la watu ambao 'upagawa' wakiona mtu kavaa hivyo hata kama amekosea ni rahisi kwao kuona "wema" wake kuliko "ubaya" wake.
Mtatiro kajificha Mchambawima kwa Seif Sharif!
Safi sana mwenyekiti wa ukweli!
Kwani maalim hakumshika mkono lowasa wewe upo Tanzania au unahadisiwa weweFunza tupu, gonga you tube ujionee,maalim hawezi kusalimiana na mkono uliokula nguruwe bora hata lipumba.
Money Can Buy Anything!
Hii Kali sana mmmhIkiwa ni siku mbili tangu arudi ofisini na kuyazima maasi yalioandaliwa na kijana wake aliemlea na kumfundisha medani za siasa Julius Mtatiro, Mhafidhina Prof. Lipumba ameimarisha ulinzi nje ya ofisi ya CUF kuhakikisha nidhamu inakuwepo na akina Mtatiro hawaleti fyokofyoko za aina yoyote.
Dullu za intellegencia zinadai baada ya tukio hilo la le profeser kukaba penati kwa kubaki ofsini, kundi hasimu lipo mbioni kuanzisha ofisi nyingine hali itakayofanya kua na CUF mbili.
Mpaka sasa haieleweki hatima ya kijana Julius Mtatiro ambaye amekua akisingizia mgogoro wa chama hicho unatokana na external force kutoka Kitu alichokiita system, CCM na ACT wazalendo wapo nyuma ya profesa huyo nguli wa uchumi alietelekeza tasnia ya uchumi na kujishughulisha na siasa kwa miaka karibu robo karne.
Pichani na profesa akihudumia wanachama ofsini.
View attachment 406951
Mbona yupo Dar anaendelea na kazi.Hujasikia Le Professer analalamika hajakuta hata ream ya karatasi na hajui aanzie wapi zaidi ya kuongea na media namfukuza Maalim Seif,asubiri akisha mfukuza kama hata hicho kiti atakalia
Safii, prof. alijiondoa mwenyewe kajirudish mwenyewe piaIkiwa ni siku mbili tangu arudi ofisini na kuyazima maasi yalioandaliwa na kijana wake aliemlea na kumfundisha medani za siasa Julius Mtatiro, Mhafidhina Prof. Lipumba ameimarisha ulinzi nje ya ofisi ya CUF kuhakikisha nidhamu inakuwepo na akina Mtatiro hawaleti fyokofyoko za aina yoyote.
Dullu za intellegencia zinadai baada ya tukio hilo la le profeser kukaba penati kwa kubaki ofsini, kundi hasimu lipo mbioni kuanzisha ofisi nyingine hali itakayofanya kua na CUF mbili.
Mpaka sasa haieleweki hatima ya kijana Julius Mtatiro ambaye amekua akisingizia mgogoro wa chama hicho unatokana na external force kutoka Kitu alichokiita system, CCM na ACT wazalendo wapo nyuma ya profesa huyo nguli wa uchumi alietelekeza tasnia ya uchumi na kujishughulisha na siasa kwa miaka karibu robo karne.
Pichani na profesa akihudumia wanachama ofsini.
View attachment 406951
Ule mkono aliuloweka kwenye mafuta ya mkunazi.ndio utamaduni wa visiwani.Kwani maalim hakumshika mkono lowasa wewe upo Tanzania au unahadisiwa wewe
'Hajakuta hata ream ya karatasi...' Nashukuru umetambua kuwa yupo Makao makuu ya CUF
Nafikiri hiki ni moja kati ya vitu vinavyofanya siasa za Tanzania kuwa za hovyo na kuvunja watu moyo waliokuwa na tumaini kuona siasa za Tanzania zikipata sura na mwamko mpya.