Picha na Matukio: Mkutano wa CHADEMA Dodoma

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wakuu Salam.
Nimeona ni vema nikawatumia picha kidogo ili mfurahishe macho kuhusiana na mkutano wa baadhi ya Wabunge wa CHADEMA uliofanyika katika Viwanja vya Barafu hapa Dodoma..Maelezo ya kilichojadiliwa naona kuna mwenzangu serayamajimbo ameshaeleza.


Wish You all the best.

photo13-1.jpg

photo10-1.jpg

photo2.jpg

photo.jpg

photo14.jpg

photo11.jpg

photo9.jpg

photo8.jpg
 
Ahsante sana. Nimefurahi sana.

Nawapenda viongozi wa CDM wote sana. Mungu awajalie kwa kuwa mnatupigania sana. Vikwazo ni vingi lakini Mungu ambaye ninamuamini atawajilia kupambana na jinamizi la CCM na viogozi wake. nimechoka na cccm kwa kweli.

Eh Mungu tuonee huruma sisi watanzani wenye hali ya chini tunaoteseka na bei ya vitu sokoni na madukani kwa sababu ya CCm na viogozi wao kukalia pesa za walipa kodi.
 
Huenda kesho baadhi ya Wabunge wakaenda kuwaunga mkono.Taarifa itatolewa kesho.


Kuliko wengine kwenda Arusha nadhani na nyie mngeitisha maandamano hapo dodoma mkalioccupy bunge mpaka kieleweke. Dodoma kuna vijana wengi na hasa wa vyuo mnaweza kufanikiwa, bunge limekuwa moja ya sehemu inayotumika kukandamiza haki za maskini wa nchi hii.
 
Alifikiri unaingia na kutoka anapotaka yeye? amuulize Mwenyekiti wake walimfanya nini? alikesha central. Sasa na yeye asubiri sheria ifate mkondo.
 
Cdm hoyeeee sa ya ukombozi inakaribia wala msikate tamaaa na maneno ya shombo ya adui,kazeni buti mwanzo mwisho.
 
Alifikiri unaingia na kutoka anapotaka yeye? amuulize Mwenyekiti wake walimfanya nini? alikesha central. Sasa na yeye asubiri sheria ifate mkondo.

yule kaingia kama chambo na kile kilichotengwa na wao mazuzu wameingia king, ss ni maandamano nchi nzima, na mtang'oka 2 nyie.
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke !

Ushauri wa bure dada, next time jaribuni kutumia kamera/picture capturing devices zenye ubora. Hizi picha ubora wake haureflect ubora wa CHADEMA kama taasisi kwa sasa.

Otherwise kazi nzuri mnafanya. Nilikuwepo leo pale viwanja vya Barafu.

Ushauri mwingine, naomba sana CHADEMA kama mnataka kuendelea kuwa chama makini chenye wanachama makini, hacheni tabia ya kupokea wanachama katika mikutano ya siasa kama ilivyokua leo. Huu mtindo si mzuri na unaweza kuhatarisha uimara na mustakabali wa chama, kwani mnaweza kupokea na makapi na mashudu yasiyofahamu itikadi na misingi ya chama (hii tabia imeiumiza sana CCM). Jengeni utamaduni na utaratibu wa kuwapa wanachama watu ambao wanafahamu na kuamini katika itikadi na misingi ya chama. Ni heri chama kiwe na wanachama 200 wenye kufahamu na kuishi itikadi na misingi ya chama, kuliko kuwa na wanachama milioni 2 wasioishi na kuelewa misingi ya chama.

Asante.

Aluta continua.
 
Back
Top Bottom