Picha na Matukio: Mkutano wa CHADEMA Dodoma

Ushauri wa bure dada, next time jaribuni kutumia kamera/picture capturing devices zenye ubora. Hizi picha ubora wake haureflect ubora wa CHADEMA kama taasisi kwa sasa.

Otherwise kazi nzuri mnafanya. Nilikuwepo leo pale viwanja vya Barafu.

Ushauri mwingine, naomba sana CHADEMA kama mnataka kuendelea kuwa chama makini chenye wanachama makini, hacheni tabia ya kupokea wanachama katika mikutano ya siasa kama ilivyokua leo. Huu mtindo si mzuri na unaweza kuhatarisha uimara na mustakabali wa chama, kwani mnaweza kupokea na makapi na mashudu yasiyofahamu itikadi na misingi ya chama (hii tabia imeiumiza sana CCM). Jengeni utamaduni na utaratibu wa kuwapa wanachama watu ambao wanafahamu na kuamini katika itikadi na misingi ya chama. Ni heri chama kiwe na wanachama 200 wenye kufahamu na kuishi itikadi na misingi ya chama, kuliko kuwa na wanachama milioni 2 wasioishi na kuelewa misingi ya chama.

Asante.

Aluta continua.

tunataka taarifa sio ubora wa picha, ujumbe ndio muhimu zaidi ya ubora....atanzani tulichagua rais kwa uzuri wa sura nayaona sasa
 
Kulikuwa kuna msiba?
wa CCM
main3.png
 
Alifikiri unaingia na kutoka anapotaka yeye? amuulize Mwenyekiti wake walimfanya nini? alikesha central. Sasa na yeye asubiri sheria ifate mkondo.

Hata removal order ni mkondo wa sheria dada yangu maana tangu siku ile aliambiwa kwamba dhamana yake iko wazi. Ndiyo maana hata hakimu hakusema removal order ni kinyume cha sheria isipokuwa amekataa kwa sababu zake binafsi tu.
 
CCM B leo vip kuongoza kambi ya upinzani .?
Nina wasiwasi sana viongozi wakuuu wa kambi ya upinzani kutokuwepo bungeni.?
 
Chadema kweli imekamata vijana
ccm imebaki na watoto! wazee kama warioba wanatamani kutoka lakini wanashindwa maana vya ufisadi nao wamevifaidi.Ila kwa dodoma kuna kazi maana wananchi kuwa karibu na bunge wote wanajiona ni wabunge.
 
tupeni mwelekeo wa nini cha kufanya ambao hatuko Arusha?nini msimamo baada ya makamanda kuwekwa ndani?
 
Ushauri wa bure dada, next time jaribuni kutumia kamera/picture capturing devices zenye ubora. Hizi picha ubora wake haureflect ubora wa CHADEMA kama taasisi kwa sasa.

Otherwise kazi nzuri mnafanya. Nilikuwepo leo pale viwanja vya Barafu.

Ushauri mwingine, naomba sana CHADEMA kama mnataka kuendelea kuwa chama makini chenye wanachama makini, hacheni tabia ya kupokea wanachama katika mikutano ya siasa kama ilivyokua leo. Huu mtindo si mzuri na unaweza kuhatarisha uimara na mustakabali wa chama, kwani mnaweza kupokea na makapi na mashudu yasiyofahamu itikadi na misingi ya chama (hii tabia imeiumiza sana CCM). Jengeni utamaduni na utaratibu wa kuwapa wanachama watu ambao wanafahamu na kuamini katika itikadi na misingi ya chama. Ni heri chama kiwe na wanachama 200 wenye kufahamu na kuishi itikadi na misingi ya chama, kuliko kuwa na wanachama milioni 2 wasioishi na kuelewa misingi ya chama.

Asante.

Aluta continua.
hujajipanga na hujui siasa hasa za nchi hii, kuhusu picha Regia si mwandishi wa habari, ameamua kutupa tusafishe macho, sioni tatizo na hizo picha.
 
Ahsante sana. Nimefurahi sana.

Nawapenda viongozi wa CDM wote sana. Mungu awajalie kwa kuwa mnatupigania sana. Vikwazo ni vingi lakini Mungu ambaye ninamuamini atawajilia kupambana na jinamizi la CCM na viogozi wake. nimechoka na cccm kwa kweli.

Eh Mungu tuonee huruma sisi watanzani wenye hali ya chini tunaoteseka na bei ya vitu sokoni na madukani kwa sababu ya CCm na viogozi wao kukalia pesa za walipa kodi.

Ameeeen!
 
Ushauri wa bure dada, next time jaribuni kutumia kamera/picture capturing devices zenye ubora. Hizi picha ubora wake haureflect ubora wa CHADEMA kama taasisi kwa sasa.

Otherwise kazi nzuri mnafanya. Nilikuwepo leo pale viwanja vya Barafu.

Ushauri mwingine, naomba sana CHADEMA kama mnataka kuendelea kuwa chama makini chenye wanachama makini, hacheni tabia ya kupokea wanachama katika mikutano ya siasa kama ilivyokua leo. Huu mtindo si mzuri na unaweza kuhatarisha uimara na mustakabali wa chama, kwani mnaweza kupokea na makapi na mashudu yasiyofahamu itikadi na misingi ya chama (hii tabia imeiumiza sana CCM). Jengeni utamaduni na utaratibu wa kuwapa wanachama watu ambao wanafahamu na kuamini katika itikadi na misingi ya chama. Ni heri chama kiwe na wanachama 200 wenye kufahamu na kuishi itikadi na misingi ya chama, kuliko kuwa na wanachama milioni 2 wasioishi na kuelewa misingi ya chama.

Asante.

Aluta continua.

Nyandaigobeko umeongea ukweli hasa kwenye usasa wa zana zinazotumika...

Chadema inajulikana kwa kuwa na vyombo vizuri vya PA....zile fuso mbili za mbowe zinazomuumiza kichwa CCM hadi wakataka kuzichoma kule igunga...

nilikuwepo uwanjani na sikufurahishwa na sound system... mara nyingine hotuba zilikuwa zinakatika ....na mwanamuziki mhamasishaji wa chadema alishindwa kufanya vyma kutokana na PA system kuwa poor.

next time chadema dodoma tujitahidi kuwa makini na hii sekta....

ni hayo tu.
 
Hivi hao kwenye picha ndio wanachama wenu woooote Dodoma nzima? mnanchekesha! si bora hizo picha mngezi "photo shop" kidogo kama kawaida yenu muonekane japo wengi wengi, au hamjampa maujanja huyu aliozibandika humu, maana sijui hata kama anajuwa huo ujanja mnaoufanya siku zote humu, mum "PM" mumpe maujanja ya "photo shop", hayajuwi huyo.

acha kutapatapa wewe ff photo shop ni tabia ya magamba. Ila kimoyo moyo unaikubali cdm. Utaisoma kanika hata kama haina maandishi.
 
Back
Top Bottom