Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,428
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bwana Chongolo.
Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya, nanukuu " CCM oyeee. Kidumu chama cha Mapinduzi, Samia Oyeee" Mwisho wa kunukuu.
Mara zote sisi tumeandikika humu na kwingine kwamba, hawa mamluki wakiongozwa na Halima Mdee wamenunuliwa na ccm, lakini kuna Wajinga wanabisha, sasa hiki kinachotokea ni nini?
---
MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka wananchi wameuunge mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema anaiendesha nchi vizuri.