Picha na Matukio: Mkutano wa CHADEMA Dodoma

yule kaingia kama chambo na kile kilichotengwa na wao mazuzu wameingia king, ss ni maandamano nchi nzima, na mtang'oka 2 nyie.

Hata muandamane kutwa kucha, Tanzania hii ng'o, hamtufikii idadi yetu hata mfanye nini. Jaribuni.
 
Ahsante dada Regia kwa picha ni nzuri. Songa mbele wewe ni mpambanaji mzuri.
 
hii imenipa moyo sana kuwa ushindi umekarbia. lakini gamba faizafoxy sijui haon hata aibu?
 
Huenda kesho baadhi ya Wabunge wakaenda kuwaunga mkono.Taarifa itatolewa kesho.
Kama itawezekana dada Regia baada ya vikao vya Bunge vinavyoanza kesho, kabla ya sherehe ya miaka 50, Krismas, na Mwaka mpya ifanyike mikutano kadhaa katika maeneo ambayo hayakufikiwa hasa kusini, nyanda za juu. Tunajua kuwa katika yote mtahitaji kuungwa mkono kifedha. Nadhani mipango ikikamilika na kuwekwa bayana wengi tutakuwa tayari kuchangia ili yote yafanikiwe. Tuwaombee yote mema.
 
hii imenipa moyo sana kuwa ushindi umekarbia. lakini gamba faizafoxy sijui haon hata aibu?

Ushindi wa Igunga juzi mmeusahau? ushindi wa kura za Taifa hata miaka 2 haijaisha mmeusahau? mtabaki hivyo hivyo kudanganya wasio na kazi.
 
Hivi hao kwenye picha ndio wanachama wenu woooote Dodoma nzima? mnanchekesha! si bora hizo picha mngezi "photo shop" kidogo kama kawaida yenu muonekane japo wengi wengi, au hamjampa maujanja huyu aliozibandika humu, maana sijui hata kama anajuwa huo ujanja mnaoufanya siku zote humu, mum "PM" mumpe maujanja ya "photo shop", hayajuwi huyo.
 
tunachohitaji ni taarifa kulingana na uwezo wa kuzipata, suala la kuhitaji picha za zilizo nje ya uwezo wa mtoa taarifa sio la msingi.
tunashukuru dada kwa kazi nzuri, walitudharau vivyo hivyo hata wakati wa uchaguzi mkuu uliopita kuwa wagombea wa CDM hawana fedha lakini ndo hao hao waliowang'oa mafisadi wakubwa ambao tunawafahamu. kitaeleweka tu na vitendea kazi vyetu duni, ubora wa chama haupimwi kwa utajiri wa wafuasi wake bali ni nia ya dhati ya kuingia ikulu.


Ushauri wa bure dada, next time jaribuni kutumia kamera/picture capturing devices zenye ubora. Hizi picha ubora wake haureflect ubora wa CHADEMA kama taasisi kwa sasa.

Otherwise kazi nzuri mnafanya. Nilikuwepo leo pale viwanja vya Barafu.

Aluta continua.
 
Hata muandamane kutwa kucha, Tanzania hii ng'o, hamtufikii idadi yetu hata mfanye nini. Jaribuni.

We unasumbuliwa na uzee unaokuandama, akili yako imechoka kiasi kwamba hugundui CCM ni mfu, bado tu hakijazikwa.
Hao watu uwaonao kwenye mikutano ya CCM ni bribed / paid up attendees, na funds za kuwafince zinazidi kuwa meagre kila kukicha.
 
Huenda kesho baadhi ya Wabunge wakaenda kuwaunga mkono.Taarifa itatolewa kesho.
Nendeni bungeni nyie...kuandamana siyo suluhisho la matatizo wananchi waliyo nayo.
Kama chadema, jitahidini kufanya wananchi waone kuwa nyie ndio suluhisho la matatizo waliyo nayo. Kitendo cha nyie kuandamana kila siku...mnadai haki ambayo hamuijui, mnawaweka wananchi kwenye majera na saa nyingine vifo, siyo kitendo kizuri kabisa. Ni kitendo cha kulaaniwa kabisa.
Kama tayari mmeshaona Plani A imewashinda...tafuteni plan B.
 
Ushauri wa bure dada, next time jaribuni kutumia kamera/picture capturing devices zenye ubora. Hizi picha ubora wake haureflect ubora wa CHADEMA kama taasisi kwa sasa.

Otherwise kazi nzuri mnafanya. Nilikuwepo leo pale viwanja vya Barafu.

Ushauri mwingine, naomba sana CHADEMA kama mnataka kuendelea kuwa chama makini chenye wanachama makini, hacheni tabia ya kupokea wanachama katika mikutano ya siasa kama ilivyokua leo. Huu mtindo si mzuri na unaweza kuhatarisha uimara na mustakabali wa chama, kwani mnaweza kupokea na makapi na mashudu yasiyofahamu itikadi na misingi ya chama (hii tabia imeiumiza sana CCM). Jengeni utamaduni na utaratibu wa kuwapa wanachama watu ambao wanafahamu na kuamini katika itikadi na misingi ya chama. Ni heri chama kiwe na wanachama 200 wenye kufahamu na kuishi itikadi na misingi ya chama, kuliko kuwa na wanachama milioni 2 wasioishi na kuelewa misingi ya chama.

Asante.

Aluta continua.

tunataka taarifa sio ubora wa picha, ujumbe ndio muhimu zaidi ya ubora....atanzani tulichagua rais kwa uzuri wa suru nayaona sasa
 
Back
Top Bottom