Kuchasoni Kuchawangu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 603
- 340
Mwenge wa uhuru utakesha leo ktk kijiji cha Nkinga Igunga.Umeingia na msafara wa magari ya kifahari yapatayo 20 na mkuu wa wilaya,mkurugenzi mtendaji,wakuu wa idara wote,wakuu wa vitengo,madiwani,maafisa tarafa na maafisa watendaji.Je gharama hizi zote zinalipwa na nani?