Picha: Mkesha wa Mwenge wa uhuru kijiji cha Nkinga Igunga

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
603
340
Mwenge wa uhuru utakesha leo ktk kijiji cha Nkinga Igunga.Umeingia na msafara wa magari ya kifahari yapatayo 20 na mkuu wa wilaya,mkurugenzi mtendaji,wakuu wa idara wote,wakuu wa vitengo,madiwani,maafisa tarafa na maafisa watendaji.Je gharama hizi zote zinalipwa na nani?
 
Attachments

  • Photo0007.jpg
    Photo0007.jpg
    38 KB · Views: 300
Wakati niko form 2 kuna jamaa alikuwa form three alipewa jina la utani MWENGE kisa alilala kwenye sherehe ya mwenge wakati wenzie wanakamua totoz. hahaa siupendi kabisa huo Mwenge kwanza ulitutesa sana enzi tuko primary, mnakaa kwenye jua masaa sita kusubiri huo moshi halafu unapolala watu wanaambukizana sana ukimwi. Serikali inachekelea tuu, FUTA UJINGA HUOO
 
Kesho tunaomba utupatie picha ya kuzagaa kwa taka za Kondom zilizotumika hapo nkinga maana mwenge huwa haulali sehemu hivi hivi bila hiyo shughuli
 
Wakati niko form 2 kuna jamaa alikuwa form three alipewa jina la utani MWENGE kisa alilala kwenye sherehe ya mwenge wakati wenzie wanakamua totoz. hahaa siupendi kabisa huo Mwenge kwanza ulitutesa sana enzi tuko primary, mnakaa kwenye jua masaa sita kusubiri huo moshi halafu unapolala watu wanaambukizana sana ukimwi. Serikali inachekelea tuu, FUTA UJINGA HUOO

Ukimwi siyo mwenye ni tabia yako tu,hata bila mwenge wewe Kama fuska ni fuska tu,tujali vitu vyetu jamani ni kitu ambacho kinatujengea mshikamano bila kujali itikadi za kisiasa,dini,rangi ama kabila,cha msingi ni marekebisho kama vile kusiwe na mikesha ama magari mengi ama kiasi cha bajeti inayotumika Kama wazungu wanajaribu kuupromote mwenge wa Olympic kwanini sisi tusiujalii huu ambao tunao ?
 
Wewe hujui faida za mwenge! Mwenge wa Uhuru unamulika mafisadi, unaleta matumaini pale kwenye chuki; uki underperforme hupati marks! Chezea mwenge weye!
 
Ukimwi siyo mwenye ni tabia yako tu,hata bila mwenge wewe Kama fuska ni fuska tu,tujali vitu vyetu jamani ni kitu ambacho kinatujengea mshikamano bila kujali itikadi za kisiasa,dini,rangi ama kabila,cha msingi ni marekebisho kama vile kusiwe na mikesha ama magari mengi ama kiasi cha bajeti inayotumika Kama wazungu wanajaribu kuupromote mwenge wa Olympic kwanini sisi tusiujalii huu ambao tunao ?
Sometimes tabia za watu zinaweza kuwa influenced na elimu pia! Wanapokusanyika watu wengi wasio na elimu ya kutosha juu ya ukimwi na ikiwa ni usiku na pakiwa na influence ya vitu kama pombe na muziki walio wengi wanajikuta wanafanya zinaa bila kujijua na maambukizi yanakuwa makubwa, mikusanyiko kama hii ingefutwa basi hawa wasio na elimu ya kutosha wanaweza kuepushwa kwa asilimia fulani na maambukizi!!
 
Kwanini huo mwenge haukimbizwa Baharini(Tanganyika to Zanzibar)? au bahari sio sehemu ya Tanzania?
 
Mods mbona thread yangu mmeiondoa? Mwenge wa uhuru utakesha leo ktk kijiji cha Nkinga Igunga.Umeingia na msafara wa magari ya kifahari yapatayo 20 na mkuu wa wilaya,mkurugenzi mtendaji,wakuu wa idara wote,wakuu wa vitengo,madiwani,maafisa tarafa na maafisa watendaji.Je gharama hizi zote zinalipwa na nani?
 
Attachments

  • Photo0004.jpg
    Photo0004.jpg
    38.3 KB · Views: 169
  • Photo0008.jpg
    Photo0008.jpg
    35.7 KB · Views: 170
  • Photo0009.jpg
    Photo0009.jpg
    36.4 KB · Views: 143
tukisema mikesha ya mwenge inachochea ngono zembe kuna mtu atabisha?
Tukisema ngono zembe inachochea maambukizi ya ukimwi kuna mtu atabisha?
Tukisema mwenge hauna tija kuna mtu atabisha?
Tuungane, tushirikiane kuupiga vita mwenge wa uhuru
 
tukisema mikesha ya mwenge inachochea ngono zembe kuna mtu atabisha?
Tukisemangono zembe inachochea maambukizi ya ukimwi kuna mtu atabisha?
Tukisema mwenge hauna tija kuna mtu atabisha?
Tuungane, tushirikiane kuupiga vita mwenge wa uhuru

'Ngono Zembe' ni tabia ya mtu...haina uhusiano wowote na mbio za mwenge! Kama wewe ni mtu wa ngono zembe hutangoja mwenge uje, utafanya hivyo kila upatapo nafasi..au excuse! I am sure hata wewe Mikela unafanya ngono zembe from time to time..if not usually, na sidhani kama unashiriki mbio za mwenge!

Tubadili tabia...tuache kutafuta visingizio na vitu/watu tuwanyooshee vidole kwa mapungufu na ujinga wetu wenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom