PICHA: Mbowe ampongeza rais Kikwete...

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Mheshimiwa Mbowe akipanga mikakati na Rais Jakaya Kikwete ;

attachment.php


attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • MBOWE.jpg
    MBOWE.jpg
    63.8 KB · Views: 4,267
  • mb.jpg
    mb.jpg
    40.3 KB · Views: 4,177
  • mbo.jpg
    mbo.jpg
    42.3 KB · Views: 4,164
  • mbowe1.jpg
    mbowe1.jpg
    33.9 KB · Views: 5,686
  • mbuo.jpg
    mbuo.jpg
    31.8 KB · Views: 4,101
Hapo ni wapi mkuu? sio unatuletea picha alf hatupi maelezo yanijitosheleza sisi wengine tutajuaje walikuwa kwenye tukio gani?
 
Kwani walikuwa katika shughuli gani?? Halafu kwani wanasiasa wapinzani wakikutana ni vibaya kubadilishana mawazo??
 
Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CDM amempongeza raisi JK kwa ujenzi wa miundo Mbinu hasa ya barabara hii inaonyesha ukomavu wa kisiasa kwani angeweza kumtolea vijembe na kejeli lakini nadhani hii pongezi haiondoi ukweli kuwa kuna pengo kubwa sana kati ya kilichofanyika na kilichotakiwa kufanyika hasa ukizingatia rasilimali tulizonazo
Nawasilisha
 
Ukweli husemwa:


Uzalendo mbele itikadi nyuma=maendeleo kwa Watanzania wote.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo
Akihutubia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaidiwa kuzindua jiwe la msingi na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na kupewa shukurani na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Miundombinu Mhe John Pombe Magufuli Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe L:eonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe wakikata utepe mojawapo ya magreda katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Miundombinu Mhe John Pombe Magufuli Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro baada ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo

Picha kwa hisani ya ikulu

Angalizo:

Huu ni mwanzo wa ukomavu wa kisiasa nchini
 
Imekuwa ni kawaida kwa WanaCDM wakiongozwa na Katibu wao Mkuu kutoa matamko yasiyo na tija hasa katika swala la maendeleo ya Taifa letu, matamko ambayo mengi yamejaa kejeli na uhuni unaopaswa kupuuziwa kuliko upuuzi wenyewe.

Katika kudhihirisha kuwa hawajui wayanenayo leo Mwenyekiti wa CDM Taifa amesikika akitoa tamko ambalo kimsingi litakuwa kama funzo kwa Katibu wake Mkuu na baadhi ya WanaCDM.

Mbowe kasema yeye amezunguka sana hapa Nchini kwa anga na barabara na amejionea maendeleo ambayo Serikali ya CCM imefikia na kwa hilo anampongeza Rais pamoja na Serikali yake. Hapa Mbowe hakutaka kumumunya maneno hata kidogo.

Hili ni fundisho kwa Slaa na wenzie ambao wamezoea kutamka kuwa miaka 50 CCM haijafanya kitu. Lakini nimekuja kugundua kuwa Samaki akianza kuzeeka huanzia kwenye Ubongo.

Mh. Freeman hongera sana kwa hayo uliyoyaona na kuyasema na tunaamini kuwa utaendelea kuwaeleza na hao wengine na wataelewa tu taratibu
 
Back
Top Bottom