PICHA: Mbowe ampongeza rais Kikwete...

CCM bado ni kimbilio wa wanyonge na kinapendwa na watanzania tuliowengi, uthibitisho uchaguzi wa udiwani uliomalizaika majuzi CCM imekomba viti vingi kuliko vyama vingine
 
Kumbe SUGU naye anatoka Kilimanjaro, Mbona tulimsifia alipoenda Kyela na Dr. Mwakyembe! Busara ni mtu kuchagua aongee nini wakati gani na sehemu gani!
 
Ni mtazamo wako wa kipunguani,mmejawa na UKANDA,UDINI na UKABILA ndio maana kila mara hamuoni zadi ya hapo
 
Back
Top Bottom