Picha: Mbinu za CCM kuzuia m4c Ulanga Mashariki

wametoa hela kwa wachimbaji na watatoa hela kukarabati(kwani huwa wanakarabati barabara za vijijini)...akili matope haya?
 
Na ile ya kumkatalia Dr asilale pale hotel ya veta Mikumi, shame on nyinyiemu na serikali yake, lazima walipe 2015 regime!

A Luta Continue!
 
Tafuta mbao 2, wekeni kazi iendelee. Nawashangaa ccm wanazuia maendeleo yao binafsi.
 
hii kali si ajabu wana magamba wote wamechanganyikiwa sasa
mdudu wa hofu,wizi,rushwa,mauaji umewajaa jatika bongo zao
sasa wanatapa tapa kubaya wanasubiri kuchomwa mkuki wa mwisho 2015 wakafie mbali
 
Mleteni PASCO kwenye huu UZI, then atuambie tatizo ni watanzania, inawezekana CCM wamekodi wahuni waje wachimbe hiyo bara bara.

Tatizo ni CCM lingekuwa hata mtu mmoja, basi ingekuwa rahisi we angalia mambo yanayofanywa. Hivi ingekuwa msafara wa JK si Polisi wangefukia mara moja

Mkuu STEIN kabla Pasco hajaja kujibu hoja yako hebu tazama hii picha kisha utafakari kama kweli watanzania wenyewe wanaweza kukwepa lawama katika umasikini huu tulionao. Itazame vizuri hii picha halafu useme neno.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu STEIN kabla Pasco hajaja kujibu hoja yako hebu tazama hii picha kisha utafakari kama kweli watanzania wenyewe wanaweza kukwepa lawama katika umasikini huu tulionao. Itazame vizuri hii picha halafu useme neno.

Mkuu Mwita mimi sishsngai kwani huwa wanawagawia hadi chakula, nguo, Pesa na Sukari wakati wa Uchaguzi. Kwa mapungufu waliyonayo watanzania ni vigumu kukataa lakini swali katika hiyo picha mwenye matatizo ni Nape au hao Raia???

Kwangu mimi kama Nape ameona waTZ wanahitaji kanga, Tishet na Kofia ile hali hakuna wanafunzi hawana madawati, waalimu si wakutosha na madawa hakuna hospitali then mimi naona ni sawa tu kwa hao wananchi kuchukua.

Mbona sijawahi kuona CCM ikitoa Madawa, Kujenga Dispensary etc???
 
ccM kwisha jeuli yao. yaani mpaka wanajila ganji wenyewe. hizi ni dalili za kuchizi
 
Tulishasema maneno ya Pinda kuwa wakuu wa Mikoa na wilaya ni makada wa chama na wana jukumu la kulinda Hayo na kuhakikisha ushindi!! Tukashauri asisahau kawapa "Terms of Reference" Hadidu za rejea!! sasa shida yake ndio Hiyo!! Hawajui watasimamia Vipi!! kwa hiyo tuendako ni Hujuma, Uaaji na utesaji!! Yangu Macho Mungu akinipa Pumzi
 
Mkuu STEIN kabla Pasco hajaja kujibu hoja yako hebu tazama hii picha kisha utafakari kama kweli watanzania wenyewe wanaweza kukwepa lawama katika umasikini huu tulionao. Itazame vizuri hii picha halafu useme neno.

HII INANIKUMBUSHA MICHEZO YA KITOTO ENZI ZILE SIJUI HATA KAMA TANZANIA KUNA KIONGOZI ZAIDI YA MWALIMU "MKUU" WA SHULE YANGU. CCM hivi hua mnakaa na kuwaza kweli........?
 
hivi kwny suala kama hili c mwenyekiti wa chama ndo anaagiza,na mwenyekiti ndo anatuongoza,daaaaaaah we are at the middle of the jungle in front of black jaguar,what next.... lets check.

Kwa hali hii usishangae hata mwenyekiti mwenyewe anashika jembe ! Pia ni tabia yao, nafahamu kuna sehemu pia walifanyiana wao kwa wao kwenye kura za maoni, jimboni kwa Mh. John Komba. sitaki matwali !
 
Mkuu STEIN kabla Pasco hajaja kujibu hoja yako hebu tazama hii picha kisha utafakari kama kweli watanzania wenyewe wanaweza kukwepa lawama katika umasikini huu tulionao. Itazame vizuri hii picha halafu useme neno.

DUH ! Mwenye nacho na asiyekuwa nacho ! Halafu huyo jamaa ( Afisa ugavi wa Tshirt, kapelo, sijui khanga alishawahi kuwa Area commissioner ! Hii ndiyo Tanzania zaidi ya unavyoifahamu.
 
<STRONG>kWELI MANYANI NI MANYANI TU HATA UKIFUGA HAYATAWEZA KUWA NA UTASHI. HIVI HUKO SISIEM HAKUNA HATA ALIYEKUWA NA FIKRA ZA KUFIKIA KIJANA WA DARASA LA TATU?</STRONG>
 
Ukisikia akili mchuzi wa nazi ndo hii....kwa kawaida, ubongo unatakiwa kuwa intact katika hali ya kishikamana.

Ukiona ubongo umekuwa kama mchuzi uliotiwa nazi ujue ndo mwisho wa habari......genge la wahuni akili mchuzi!!
 
Hii picha ya Katibu Mwenezi Wa C C M looo, inatisha saaana saaana hivi kweli jamaa welee
ni sawa na bubu zake ,baba zake pia sio ustaarabu wa kitanzania kwa watu kama hawa kufanyiwe aibu
kama hii kweli C C M kwa staili kama hii maji ni zaidi ya shingoni ......
sasa kwishaaaaaaa
sasa kwishaaaaaaa
kwaheri kwaheri mpumzike salaaaalaaaama
HAJI RASHID AMANI (JOKAA LA MZIMUU)
 
Nashawishika kusema kuna kikosi hatari ndani ya CCM, na kinaweza kuzua balaa kubwa. Leo wanachimba barabara, kesho watafanya nini, kutega mabomu? Na nini tafsiri ya mambo yanayofanywa na hiki kikosi kazi cha maangamizi?
 
Point taken, pal.

Sadly majeshi yetu yamekuwa yakitumika vibaya aidha kwa kuhusika moja kwa moja au kufumbia macho/mdomo mambo mengi tu.

Worry times are not too far in this trend.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
lo hii hatari sana kuharibu miundo mbinu kiasi kuzuia chadema wasipite.Hakika umaskini wa mawazo ni hatari sana
 
Aibu kubwa, na hapo ndio uone umbumbumbu wa wananchi wanaacha mtu ankuja haribu barabara kwa jambo la kijinga kabisa, ikitokea dharura inayoitaji masafara wa magari kupita sijui watapita wapi,

poleni jamani, tanker la petrol limeshalipuka, inabidi ukae mbali usikilizie maumivu, moto wake hauzimwi kwa maji.
 
Back
Top Bottom