Kukabidhi kadi za CCM kunaondoa changamoto? Wananchi tubadilike Serikali inawapenda

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,398
1,264
Jf members!
SALAAM!

Ifahamike kwamba tunaishi ktk dunia inayokabiriwa na changamoto mbalimbali za kimaisha - kwamba changamoto hizi hutokana na kasi na mabadiliko ya ukuaji wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.

Sasa wananchi tujiulize JE unapokutana na changamoto kadhaa suluhu la kudumu kwetu ni kuishauri taasisi si kukimbilia kukabidhi kadi as if siku unapokabidhi kadi ya CCM, CDM, ACT, NCCR nk ndiyo matatizo yako huisha.

Huu ni ulimbukeni wa kisiasa - kwa bahati nzuri jambo fulani linapokwama ktk hatua za Mtaa / Kijiji waweza kwenda Kata, hapo likikwama wilaya na mikoa ipo na kule likikwama basi Taifa lipo. CCM ni chama chetu na kwa namna yoyote tuepuke kukidharirisha.

Nawasubiri pwayu pwayu wa CDM, and groups
 
Hiyo ni hatua moja kuelekea kuitoa CCM ofisini.
Unarudisha kadi kisha siku ya Pili tunaenda kuwafurusha ofisini kwa marungu Panya na Chawa wote wa CCM.

Safi sana wana Mtwara.
Asiyesikia la mkuu ...
 
Bado saaana
 
Sasa wananchi tujiulize JE unapokutana na changamoto kadhaa suluhu la kudumu kwetu ni kuishauri taasisi si kukimbilia kukabidhi kadi as if siku unapokabidhi kadi ya CCM, CDM, ACT, NCCR nk ndiyo matatizo yako huisha.
Unadhani sababu ya DC na DED kutumbuliwa ilitolewa kwa bahati mbaya?
 
Huwa hakuna kutumbuliwa ni viini macho - kama ulomtumbua unaendelea kumlipa mshahara wa kiongozi hapo kuna utumbuaji gani?
Tangu lini DC akatumbuliwa halafu akaendelea kulipwa mshahara? Ole Sabaya anapokea mshahara gani?
 
Back
Top Bottom