PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

kwa kweli Watu ni wengi mno na haijawai kutokea.Tusubiri je DR Silaa akirudi toka ITALY atapata watu wengi kama hawa? Tutake tusitake PROF LIPUMBA anakubalika mwaka 2015 itakuwa kazi kubwa sana.TUNAKUTAKIA AFYA NJEMA PROF LIPUMBA UTUKOMBOE WATANZANIA 2015.
 
Hili fundisho kwa chadema na CCM wenye mawazo maovu kwa CUF
Fundisho kwa chama chochote makini ni sera makini zinazopelekea chama flani kuwa na mtaji mkubwa wa kura dhidi ya vyama vingine.
Sasa kwa kuanzia na matokeo ya kura mlizopata igunga na chaguzi ndogo ndogo zote ikiwepo Arumeru ambapo you have surrender na kutundika daluga, ainisha hapa hayo mafundisho makini tunayoweza kuyapata kutoka kwa CUF kwa matukio haya yenye maslahi kwa umma.
Tofauti na hapo CUF ni maiti iliyokua inanuka ikimsubiri Lipumba aje azike mzoga huu.
CUF is in grave condition, leo tunazika.
 
..Mchumi bobwe na Mwenyekiti wa Taifa wa CUF amerejea Dar es Salaam na kulakiwa na "umati" wa watu wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani. Wana JF; kama mlikuwapo kwenye mapokezi na au kama mlifuatilia mapokezi yake mmegundua nini (naomba hoja za kisayansi kwa utumizi wa uchunguzi na mantiki).
 
Hamna kitu hapo, Kwani Lipumba ndio atabadili nini? Chama kishajifia Prof kaja kuhudhuria mazishi. Leo jumapili watu hawana pa kwenda wameamua waende kupoteza mda J.K.Nyerere airport. Chadema itawatesa sana, na bado huo ni mwanzo tu.
 
Fundisho kwa chama chochote makini ni sera makini zinazopelekea chama flani kuwa na mtaji mkubwa wa kura dhidi ya vyama vingine.
Sasa kwa kuanzia na matokeo ya kura mlizopata igunga na chaguzi ndogo ndogo zote ikiwepo Arumeru ambapo you have surrender na kutundika daluga, ainisha hapa hayo mafundisho makini tunayoweza kuyapata kutoka kwa CUF kwa matukio haya yenye maslahi kwa umma.
Tofauti na hapo CUF ni maiti iliyokua inanuka ikimsubiri Lipumba aje azike mzoga huu.
CUF is in grave condition, leo tunazika.

Endelea kuota..keep on dreaming
 
Hamna kitu hapo, Kwani Lipumba ndio atabadili nini? Chama kishajifia Prof kaja kuhudhuria mazishi. Leo jumapili watu hawana pa kwenda wameamua waende kupoteza mda J.K.Nyerere airport. Chadema itawatesa sana, na bado huo ni mwanzo tu.

keep on crying..chadema ipi ile iliyonunua kura @kura 200,000/- oops
 
maandamano yanaishia sinza makaburini a.k.a mwisho wa nyodo na hapo ndio mazishi ya cuf yatafanyika kwani ndg wa marehemu wote wamefika akiwamo prof
 
attachment.php
 
Endelea kuota..keep on dreaming

:focus: Ainisha hapa hayo mafundisho mema yenye maslahi kwa umma tunayopata kutoka kwa CUF kama nilivyokuuliza kwa kuainisha hapo juu.
Tofauti na hapo CUF ni maiti iliyooza ikimsubiri Lipumba aje afukie mzoga huu.
Leo ni mazishi, baba kaja kuzilka.
 
:focus: Ainisha hapa hayo mafundisho yenye maslahi kwa umma kwa kutoka kwa CUF kama nilivyokuuliza kwa kuainisha hapo juu.
Tofauti na hapo CUF ni maiti iliyooza ikimsubiri Lipumba aje afukie mzoga huu.
Leo ni mazishi, baba kaja kuzilka.

Chama cha wananchi kunachotetea haki sawa kwa wote..(bila kujali dini, rangi wala kabila) si unajua chama chenu huko lazima uwe ndugu wa slaa au mbowe au zitto ndio ubunge utapata..mifano unayo..

chama cha wananchi kinachotetea serikali tatu ili kuondokana na kero za muda za muungano..naona mmeanza kuiga nowdays..

chama cha wananchi kinachotetea na kuitaka siasa kutumikia uchumi na si uchumi kutumikia siasa..

Kuhusu kufa kwa CUF utasubiri sana hadi umri wako wote (yaani wewe utakufa) bado CUF itakuwepo..we can bet..
 
Haya mapokezi ya Prof. Lipumba yamefana sana. Bila shaka ni kutokana na promo kubwa sana iliyofanywa na vijana wake pamoja na uwepo wa Afande Sele.

Uwepo wa afande sele umesaidia sana kujaza watu, na hayo ndio matunda ya cuf kuungana na ccm. Wamewafundisha mbinu mbadala za kukusanya watu, ni kutumia wasanii wa muziki na vichekesho! Si ajabu wengi pamoja na kusombwa na malori watakuwa wamekwenda kumuona baba Tunda.

Angalau baba Tunda kajiongezea kipato siku ya leo. Cuf endeleeni kuwaongezea wasanii kipato kila mara, hata maalim seif akija buguruni muwaalike tmk wanaume watumbuize, mtafunika sana siku hiyo!
 
Chadema bana sasa mna ugomvi pia na CUF?

Ndio maana nasema anayefikiri chadema wako serious amepotea pole..mkuu
 
This a lesson to chadema, CDP and CCM fans

CUF will be there to stay..na itachukua nchi tumeanza zanzibar tunakuja bara kwa kasi

Iv ni nani mgombea wa ubunge kwa tiketi ya cuf kule Arumeru?afu iv huyu mwenyekiti anataarifa kweli juu ya matokeo ya kiti cha uwakilishi kule uzini!
 
Chama cha wananchi kunachotetea haki sawa kwa wote..(bila kujali dini, rangi wala kabila) si unajua chama chenu huko lazima uwe ndugu wa slaa au mbowe au zitto ndio ubunge utapata..mifano unayo..

chama cha wananchi kinachotetea serikali tatu ili kuondokana na kero za muda za muungano..naona mmeanza kuiga nowdays..

chama cha wananchi kinachotetea na kuitaka siasa kutumikia uchumi na si uchumi kutumikia siasa..

Kuhusu kufa kwa CUF utasubiri sana hadi umri wako wote (yaani wewe utakufa) bado CUF itakuwepo..we can bet..

Toa jibu specific kama swali lilivyouliza ndugu mfiwa,
kwa kuanzia na matokeo ya kura mlizopata igunga na chaguzi ndogo ndogo zote ikiwepo Arumeru ambapo you have surrender na kutundika daluga, ainisha hapa hayo mafundisho makini tunayoweza kuyapata kutoka kwa CUF kwa matukio haya yenye maslahi kwa umma.
 
Naona mapofu yanakutoka..keep on dreaming..

chama cha wananchi kitabaki milele hadi utakufa chenyewe kitakuwepo bisha?

hatuna sababu ya kununua kura @ kura 200,000/- kama chadema na CCM..wao mafisadi

wananchi watakilinda chama chao..
 
Duu! Nipo ubungo msafa wa lipumba unapita, kwa kweli watu ni wengi kweli kweli magar ndio usiseme, zaidi ya saa moja msafara hauishi. Kweli watu wanampenda lipumba. Mmejitahidi cuf, kwa hilo nimewapa tano.
 
Back
Top Bottom