PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

Feb 26, 2012
39
42
Kesho ni siku ambayo mtaalamu wa uchumi wa kimataifa na mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof.Ibrahim Lipumba atakuwa akiwasili nchini kutokea Marekani.Alikuwa kikazi kwa miezi mitano baada ya kuwa mchumi-mwafrika pekee aliyeshinda propasal ya project ya Uchumi na demokrasia.Prof.Lipumba amekuwa akiishauri serikali kuhusu mambo mengi ya uchumi wa TZ but mawazo yake yanakuwa ignored simply yeye ni mwana CUF.Nchi yetu imekuwa na desturi ya kupuuza wataaalam wake wa ndani na kuaacha wakatumike na nchi zingine.Mfano mzuri ni madaktari wetu wengi wanakimbilia Botswana kwan hapa nchini thaman yao ni ndogo hadi inabid wagome na bado serikali ya CCM inatishia kuwafukuza.Nchi inawataalam wengi kama kina Prof.Shivji,Baregu na wengine wengi lakini kwa serikali ya CCM inwaignore simply coz wanaitikan za kukinzana na serikal ya CCM.Ndiyo maana CUF katika sera zake inasisitiza uundwa wa serikali ya umoja wa kitaifa kama ilivyo nchi kama Marekani ambapo hata kama ni wa chama pinzani serikali inaweza kutumia utaalam wako kwa manufaa ya nchi.NABII HAKUBALIKI KWAO.PROF.LIPUMBA KARIBU NYUMBANI TUENDELEZE MAPAMBANO.Kunatetesi kwamba mapokezi hayo makubwa yataoneshwa LIVE STAR TV kuanzia saa 7 mchana
LIPUMBA 11-3-2012 001.jpg
 
hivi Tanzania tukiamua kutuamia maliasili zetu hadi maliasili watu tulionao hatuwezi kutoka hapa tulipo ambapo tunatumia wachina kwa kila nyanja?
 
Kesho ni siku ambayo mtaalamu wa uchumi wa kimataifa na mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof.Ibrahim Lipumba atakuwa akiwasili nchini kutokea Marekani.Alikuwa kikazi kwa miezi mitano baada ya kuwa mchumi-mwafrika pekee aliyeshinda propasal ya project ya Uchumi na demokrasia.Prof.Lipumba amekuwa akiishauri serikali kuhusu mambo mengi ya uchumi wa TZ but mawazo yake yanakuwa ignored simply yeye ni mwana CUF.Nchi yetu imekuwa na desturi ya kupuuza wataaalam wake wa ndani na kuaacha wakatumike na nchi zingine.Mfano mzuri ni madaktari wetu wengi wanakimbilia Botswana kwan hapa nchini thaman yao ni ndogo hadi inabid wagome na bado serikali ya CCM inatishia kuwafukuza.Nchi inawataalam wengi kama kina Prof.Shivji,Baregu na wengine wengi lakini kwa serikali ya CCM inwaignore simply coz wanaitikan za kukinzana na serikal ya CCM.Ndiyo maana CUF katika sera zake inasisitiza uundwa wa serikali ya umoja wa kitaifa kama ilivyo nchi kama Marekani ambapo hata kama ni wa chama pinzani serikali inaweza kutumia utaalam wako kwa manufaa ya nchi.NABII HAKUBALIKI KWAO.PROF.LIPUMBA KARIBU NYUMBANI TUENDELEZE MAPAMBANO.Kunatetesi kwamba mapokezi hayo makubwa yataoneshwa LIVE STAR TV kuanzia saa 7 mchana
View attachment 48981

Kavaa suti nzuri kama za wale wahubiri kina mwakasege......

Nadhani at least CUF Watapata la kutokea..
 
msafara utaishia msikiti wa ijumaa upi hapo jijini?
 
mhh kweli inasikitisha kuona mtaalamu anasaidia kuimalisha uchumi wa nchi za wenzetu ili hali wa Tanzania tunadidimia kila kukicha mungu ibaliki Tanzania,kalibu nyumbani Proff Lipumba.:lock1:
 
Aliwahi kupewa nafasi wakati wa mwinyi...akachemsha! Li pumba
 
Nilishawahi kusoma Article zake mbili kuhusu uchumi wa Africa kweli huyu jamaa ni kichwa cha uchumi.Ila sijui kwa nini nchi zetu hizi za africa huwa hazitumii ipasavyo wataalam wetu.
 
Hukumbuki wangenga walisema palipo na miti mingi hakuna wajenzi? Kama umewahi kumwona Fundi uashi ana nyumba yake nzuri ujue sio fundi mzuri sana. Vile vile Mafundi seremala wengi hawana fernichers nzuri majumbani mwao. Umeshamwona fundi mshona nguo anavaa nguo bomba? Ukimwona basi huyo ni msimamizi tu sio fundi cherehani. Je, Umeona wapi Askofu watoto wake wakawa na tabia nzuri sana? Ulizia kama utakuta watoto wengi wa walimu wana akili sana. Only the exceptions which however, are very few!!!!

Tanzania imelaaniwa laana ambayo kina Mwakasege wanapigia kelele kila siku ili kuikemea ishindwe na kulegea ktk JINA KUBWA KABISA la YESU KRISTO, lakini laana hiyo haitoki kirahisi sababu wanaowazunguka katika maombi hayo nao wametingwa na dhambi kibao hata zinawasuta wakati wa maombi na hatimaye maombi yanazuiwa kufika JUU mbele ya Muumba, Kanchi katajiri sana lakini kananuka umaskini sababu wapo watu wanatambika sana kujilimbikizia utajiri kwa kuweka misukule kwenye ofisi zao, vitega uchumi vyao, uongozi wao......hata wengine huua watoto wao ili watajirike upesi lakini hawadumu sana, wenzao wanaobaki wala hawaoni hayo maana shetani anawasahaulisha. Hii ni vita ya kiroho. Bila kujali dini gani ni lazima watanzania wote tuamke, tutubu na kutakasika na ndipo tumwombe Mungu atuonee huruma. Hatupigani lakini nchi zinazopigana zinapaa kiuchumi. Sisi tunawaita wageni waje wale, wanye waondoke na kila wanachokitaka kutoka kwetu, nasi wanaturushia sumni kama vile makonda wanavyowafanyia wapigadebe, halafu tunafuraaaaaahi ajabu. Kama sio laana ni nini hiyo. Unaweza kuiona vizuri Tanzania ukitoka nje kidogo tu, itazame kutoka kule ndo utajua laaana hapa ndio amri ya kila siku tunaitumikia.

Aaghrrrr!!!

Message sent and delivered, I am not sure it is read. kila munu abena kwabo. Tusali sana sio mchezo, tena kwa kumaanisha.
 
Aliwahi kupewa nafasi wakati wa mwinyi...akachemsha! Li pumba

Kama sikumbuki enzi za mwinyi ndoo ulikuwa wakati wa Ruksa.Basi kumbe hakuchemsha bali alibadilisha mfumo wa uchumi kuutoa kwenye ujamaa wa nyerere wa raia kukatazwa kumiliki mali na kujizalishia kipato binafsi na kuupeleka ubepari ambapo ikawa rusksa raia kumiliki mali na kuzalisha uchumi kwa kilka mtu nanafsai yake.Ni wakati ambapo pesa ilianza kupatikana kwa wingi kwa wananchi.LIPUMBA LIWEZA baada kuona kupitia kwake mambo yanwezekana wakaamua kumuondoa ili watyu wasijewakamsifu na kumpa sifa yeye.
 
Karibu nyumbani Professor.Lakini hatutaki mapokezi yake yahusishwe na siasa.Nitakwenda nikikuta bendera ya chama chochote narudi nyumbani.
 
Mtatiro, tunashukuru sana kwa taarifa. Mi nilitaka kujua tu kama Hamad Rashid nae atakuwepo?
 
Karibu nyumbani, kuna mengi unahitaji kuyashughulikia kwa hekima, vinginevyo akina mtatiro watakudanganya na hivyo kuizika cuf kabisa
 
karibu mchumi sasa wanakutambua watakushirikisha katika mambo muhimu ya kiuchumi wana kudharau ama kukutenga eti kwa ua upo upinzani, anakuzungumzia ubaya ndie anae kuinua
 
Back
Top Bottom