PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

Lipumba ni shujaa asiekubalika kwao mfano ni kila anapogombea uraisi wa jmt huwa kura zinapungua
 
Huyu mtoa mada ni muongo na tena Muongo mimi nimepita pale watu niliowakuta pale si zaidi ya 30.
 
Sasa anapokelewa kwa nafasi yake CUF ama kwa nafasi ya kazi aliyopewa UN kama individual?
Na mie niko northern sudan nagawa michele kwa wahanga, nikija ntawataarifu jamani mniunge mkono.
 
Hata mimi nipo hapa airport, lakini nimekuja kurudisha kadi ya CUF.
 
  • Thanks
Reactions: PhD
wadau..hivi ule wimbo wa 'JIPE MOYO UTAYSHINDA',umeimbwa na nan vle..
help please..
 
Jamani,tutoe nafasi ya kumwambia,welcome back home,halafu akisha pumzika tutamwambia yote yaliyoisibu familia.
Nyote mnaochangia inawezekana mnafamilia au mnatarajia kuwa na familia.
Mnapotoka safari na kurudi nyumbani baada ya siku nyingi kuw mbali na familia ,unatarajia upendo na nyuso za furaha zikupokee.
Leo hata mimi nipo hapa kumlaki,itikadi pembeni,utaifa mbele.
 
Ahsante FPoY. Umenena kama mama. Utaifa muhimu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom