mkuu umekumbukaje hii kitu...hawakawiagi kusingiziasijui na mabomu yetu yapo salama...
hawa pum....fu ndo zao, huu wanautumia km mtaji wa kisiasa, kuna maana gani kumuita kamera man, huu ni usanii sana.hawa jamaa wanatumia matatizo ya wana-nchi kutoka/kujiapatia umaarufu kisiasa,sasa anapiga picha na bibi hili iweje?
Seriously this is dangerous! Majeshi yetu hapa ndiyo yalitakiwa yaonyeshe umaahiri wao wa kuokoa watu kwenye hili janga