figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
hapa ni maeneo ya kati ya Tabata na Buguruni, kama picha hii inavyoonyesha nyumba zikiwa zimefunikwa na kuelea majini leo hii.
Eneo la Tabata unapopita Mto Msimbazi likiwa limejaa maji na kufunika baadhi ya nyumba za maeneo hayo leo.
Haya ni maeneo ya Vingunguti kuelekea Tabata, eneo la Viwanda.
Picha za Moja kwa moja kutoka Eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuzingirwa na maji/Mafuriko kutokana an mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam Muda Huu na kufanya eneo lote la Jangwa Kuonekama Kama Ziwa.Picha Hizi za Moja kwa Moja Kutoka Jangwani Zimepigwa na Mdau Bilal Ahmed
Mto Msimbazi ulikopita na kuharibu Miundombinu. |
<tbody>
</tbody>