Hawa jamaa wanatumia matatizo ya wana-nchi kutoka/kujiapatia umaarufu kisiasa,sasa anapiga picha na bibi hili iweje?
Kikosi cha uokozi kikiwa kazini barabara ya Morogoro karibu na daraja la Magomeni lilofurika
View attachment 43815View attachment 43816
Sipati picha, ni vikosi vya uokoaji au vikosi vya vita? Mbona wamevalia kivita, virungu, risasi na bunduki? Hapa niko gizani sijui kinachoendelea katika uokoaji wa staili hii.
Jomba punguza hasira, matukio ya emergenzies kama hizo yanatumiwa na baadhi ya watu kujinufaisha kwa kupora mali za wengine.ni vema nipigwe ban kuliko kukaa kimya, hizi picha mbili zimeniudhi sana!! yaani badala ya kuja na vifaa vya kuokoa askari wamejaza mabomu vifuani... huu ni ushenzi... Vikosi vya uokozi vipo wapi?
Angalia mtumbwi wa "kuokolea" waliokumbwa na mafuriko ulivyochoka. Sijui ulinunuliwa mwaka gani, lakini magari ya kuwamwagia Watanzania pilipili ni mapya kabisa!!!!
Sipati picha, ni vikosi vya uokoaji au vikosi vya vita? Mbona wamevalia kivita, virungu, risasi na bunduki? Hapa niko gizani sijui kinachoendelea katika uokoaji wa staili hii.