PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

Hii ndio halisi ya jiji la Dar es Salaam leo.
Eee Mungu tunusuru waja wako...

20qx2rl.jpg
 

Attachments

  • Mvua Bongo.jpg
    Mvua Bongo.jpg
    139.7 KB · Views: 250
hao watu walifanikiwa kutoka kweli kwenye hizo nyumba jamani Mungu awasaidie
 
Sasa yale maghala ya mabom si inaweza ikawa noma sasa yakipitiwa na mafuriko?
 
Watu wanajazana kwenye vibaraza vya majirani. Hapo kama ulimnunia jirani yako leo unamchekea.

Wageni.jpg
 

Attachments

  • Wageni.jpg
    Wageni.jpg
    65.1 KB · Views: 178
Seriously this is dangerous! Majeshi yetu hapa ndiyo yalitakiwa yaonyeshe umaahiri wao wa kuokoa watu kwenye hili janga
 
Kutokana na hali ilivyokua leo katka jiji la dar,nawashauri waisio mabondeni waame maana mvua hizi zitaendelea mpaka kweny tar 1 /1/ 2012,nawapa kama angalizo tu, msiniulize nimejuaje E BU ANGALI HALI ILIVYOKUA LEO BAADHI YA MAENEO DAR
 
Back
Top Bottom