PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C

Hoja gani unataka wewe hiyo Chopa ipo kwenye chumba cha rangi nyie mnasema mpya sasa tusijadil unataka kuniziba mdomo..

Hiyo Chopa ndio Lema kapewa na Meya wa London.

kumbe mpya hazinaga rangi!
 
Lema bana ana mambo ya kizamani anapiga picha na Chopa harafu anawatumia wafuasi wake..
wachina wanakwambia picha inasema zaidi kuliko chochote kile
kwa mfano umefanya kosa,cctv ikapata picha yako,kesi yako haitachukuwa masaa utakuwa umepewa haki yako.

so kupiga picha si ushamba,walioendelea wanakueleza picha inaongea zaidi
 
Hoja gani unataka wewe hiyo Chopa ipo kwenye chumba cha rangi nyie mnasema mpya sasa tusijadil unataka kuniziba mdomo..

Hiyo Chopa ndio Lema kapewa na Meya wa London.

Usikwepe hoja yako ya msingi Ritz,
Umesema Lema kapiga picha na Chopa kisha kawatumia wafuasi wake. Nikakuuliza ulitaka ampelekee Nape Nnaye na Mkama? Badala ya kujibu hoja unakuja Chopa imepigwa Rangi. Hoja ya Rangi itakuja baadaye, nakuuliza ulitaka ampelekee nani picha aliyopiga akiangalia Chopa?
 
CCM nadhani wanajutia uamuzi wa mahakama kuhusu ubunge wa Lema.
Wanatamani ashinde rufaa ili arudi bungeni, maana akiendelea hivi hivi mpaka 2015, CHADEMA hata waweke jiwe kugombea uraisi, litashinda. Yaani cpati picha ya bunge lijalo (after election of 2015).
Ukimpiga teke chura ............................................!
 
Watajilaumu kwa nini walimvua ubungemaanaangekuwa busy jimboni au bungeni au wizara kivuri kuliko hii anayo fanya sasa.

Binafsinamtakia kila la heri ktk harakati hizi hakika jina lake linakuwamiongoni mwa wakomboziwataifa hili.

Asante
 
Kodi zetu zinatumika hivi huku watoto wetu wakikosa madawati, madarasa, vyoo, vitabu,..., walimu wao wakidai mishahara zaidi wanaambiwa hakuna hela. Madaktari wanakandamizwa kiaina, hakuna maji ya kunywa mijini na vijijini, barabara vijijini hazipitiki,..., tuendelee tu kugharamia SIASA kama mazuzu huku tukiwashangilia akina Lema na machopa yatakayoendeshwa kwa ruzuku yetu!

Nakubaliana na wewe Wilcard,
Elimu yetu ni mbovu, madaktari hali mbaya, bara bara usiseme. Sasa, kwa maoni yangu tunahitaji Chopa ili tuwafikie watz wengi kwa haraka tuwape elimu ya Uraia, waikatae CCM then Chama kipya kitakachokuja kifanye hayo ambayo miaka 50 ya CCM yalikwama, na tuna uhakika miaka 50 ijayo ccm hawatafanya. Bila Chopa nchi hii ni kubwa, hatuwezi kuiondoa ccm kirahisi.

Ikumbukwe, mabadiliko tunayoyaona ni matokeo ya Chopa iliyozunguka 2010 wakati wa kampeni ni operesheni Sangara za Chadema.
 
HUU NI WAKATI MWINGINE WA KUANGAMIZA MAGAMBA KUTOKEA HEWANI,KAZI KWENU MAGAMBA MoTO HUU HAUZIMIKI KAMWE
 
CDM hayo ni matumizi mabaya ya ruzuku, badala ya kuimarisha ofisi zenu vijijini mnatumia mapesa mengi kununua chopa. Watanzania hawataki chopa , wao wanataka sera mbadala ambazo ni suluhisho la matatizo yao
 
kodi zetu zinatumika hivi huku watoto wetu wakikosa madawati, madarasa, vyoo, vitabu,..., walimu wao wakidai mishahara zaidi wanaambiwa hakuna hela. Madaktari wanakandamizwa kiaina, hakuna maji ya kunywa mijini na vijijini, barabara vijijini hazipitiki,..., tuendelee tu kugharamia siasa kama mazuzu huku tukiwashangilia akina lema na machopa yatakayoendeshwa kwa ruzuku yetu!
ungekuwana akili nzuri lazima untafakari kwanza lengo la ziara hiyo nini baada ya hapo fikiria mafanikio ya baadaye
 
CDM hayo ni matumizi mabaya ya ruzuku, badala ya kuimarisha ofisi zenu vijijini mnatumia mapesa mengi kununua chopa. Watanzania hawataki chopa , wao wanataka sera mbadala ambazo ni suluhisho la matatizo yao

Utafikishaje hizo sera vijijini? mkuu unaijua geographia ya nch yetu?
 
CDM ni hodari kwa kupeana ULAJI kikanda, kwa nini kila penye harufu ya pesa awekwe mtu wa Kaskazini???? Lema kila siku yuko safarini na kufaidi RUZUKU!!
 
Bartlett%252520with%252520Jakaya%252520Mrisho%252520Kikwete%252520and%252520wife%252520at%252520Mystic%252520Mountain.jpg
 
Kodi zetu zinatumika hivi huku watoto wetu wakikosa madawati, madarasa, vyoo, vitabu,..., walimu wao wakidai mishahara zaidi wanaambiwa hakuna hela. Madaktari wanakandamizwa kiaina, hakuna maji ya kunywa mijini na vijijini, barabara vijijini hazipitiki,..., tuendelee tu kugharamia SIASA kama mazuzu huku tukiwashangilia akina Lema na machopa yatakayoendeshwa kwa ruzuku yetu!

Mkuu Wilcard, nakubaliana nawe,
Hali za watoto wetu mashuleni ni mbaya sana, afya hamna imezorota sana, bara bara nk, lakini kwa maoni yangu tunahitaji Chopa ili tuzunguke Tz nzima tutoe elimu ya Uraia ili watz waikatae ccm iliyosababisha hali hii kwa zaidi ya miaka 50 iliyopita.

Kumbuka, mabadiliko tunayoyaona ni matokeo ya Elimu ya Uraia iliyotolewa mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu.

Pili, kazi ya Ruzuku ya Chama cha upinzani siyo kujenga shule,hospt nk, hiyo ni kazi Serikali inayopewa bajeti kwa kazi hiyo, kazi ya ruzuku ya Chama cha upinzani ni kuijenga Chama hicho kwa namna yo yote inayoona inafaa, ikiwepo kununua chopa.

CDM ni hodari kwa kupeana ULAJI kikanda, kwa nini kila penye harufu ya pesa awekwe mtu wa Kaskazini???? Lema kila siku yuko safarini na kufaidi RUZUKU!!
Mpaka kufikakia mwaka 2015 mtakuwa mmesema yote kudadadeki zenu....
 
Mkuu Wilcard, nakubaliana nawe,
Hali za watoto wetu mashuleni ni mbaya sana, afya hamna imezorota sana, bara bara nk, lakini kwa maoni yangu tunahitaji Chopa ili tuzunguke Tz nzima tutoe elimu ya Uraia ili watz waikatae ccm iliyosababisha hali hii kwa zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Kumbuka, mabadiliko tunayoyaona ni matokeo ya Elimu ya Uraia iliyotolewa mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu.
Pili, kazi ya Ruzuku ya Chama cha upinzani siyo kujenga shule,hospt nk, hiyo ni kazi Serikali inayopewa bajeti kwa kazi hiyo, kazi ya ruzuku ya Chama cha upinzani ni kuijenga Chama hicho kwa namna yo yote inayoona inafaa, ikiwepo kununua chopa.

Mkuu kama atakuwa haja kuelewa basi akaanze chekechea...
 
Utafikishaje hizo sera vijijini? mkuu unaijua geographia ya nch yetu?

Ni mpe mfano tu Juzi M4C ilifanya mikutano kwa kutumia chopa huko simanjiro siku moja waliweza kuzunguka kwenye kata 9 kitu ambacho siyo rahisi kama huna chopa.....
 
Nakubaliana na wewe Wilcard,
Elimu yetu ni mbovu, madaktari hali mbaya, bara bara usiseme. Sasa, kwa maoni yangu tunahitaji Chopa ili tuwafikie watz wengi kwa haraka tuwape elimu ya Uraia, waikatae ccm then Chama kipya kitakachokuja kifanye hayo ambayo miaka 50 ya ccm yalikwama, na tuna uhakika miaka 50 ijayo ccm hawatafanya. Bila Chopa nchi hii ni kubwa, hatuwezi kuiondoa ccm kirahisi. Ikumbukwe, mabadiliko tunayoyaona ni matokeo ya Chopa iliyozunguka 2010 wakati wa kampeni ni operesheni Sangara za Chadema.
MP Aweda,
Kwa nini msiyafanye haya kwa pesa zenu wenyewe wanachama wa vyama hivi? Kwa nini vyama vya SIASA vipewe RUZUKU inayotokana na kodi zetu ambazo baadhi yetu sio wanachama wa vyama hivi? Igeni mfano wa DINI zetu zinavyojiendesha kwa kutumia ZAKA na SADAKA za waumini wao. Huduma za jamii zinazidi kudorora kwa sababu ya kugharamia SIASA na wanaSIASA. Haohao tunaowagharamia bado wanatugharimu zaidi kwa ufisadi, rushwa, ubadhirifu,...
 
Ameenda kukagua ama kupiga nayo picha? kwani Lema ana utaalaamu wowote kuhusu helcopter?
jibu swali wekeni siasa pembeni
 
Lema bana ana mambo ya kizamani anapiga picha na Chopa harafu anawatumia wafuasi wake..

Sasa si bora yeye anawatia moyo wana M4C kwamba nguvu zinaongezaka kuliko KAKA Mkubwa anayepiza picha na kina 50Cent.
 
Back
Top Bottom