PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C

MP Aweda,
Kwa nini msiyafanye haya kwa pesa zenu wenyewe wanachama wa vyama hivi? Kwa nini vyama vya SIASA vipewe RUZUKU inayotokana na kodi zetu ambazo baadhi yetu sio wanachama wa vyama hivi? Igeni mfano wa DINI zetu zinavyojiendesha kwa kutumia ZAKA na SADAKA za waumini wao. Huduma za jamii zinazidi kudorora kwa sababu ya kugharamia SIASA na wanaSIASA. Haohao tunaowagharamia bado wanatugharimu zaidi kwa ufisadi, rushwa, ubadhirifu,...
Sasa wilcard,
Kama hoja ni kwanini vyama vya siasa vipewe Ruzuku hiyo ni hoja nyinginge kabisa na ni mjadala tofauti.

Ila kwa sasa, as long as Ruzuku inatolewa kwa vyama vya siasa, Chadema wako sahihi kutumia Ruzuku kufanyia cho chote wanachoona kwa mujibu katiba yao, kanuni na makubaliano ya vikao husika.

Na hawajavunja sheria yo yote wala katiba ya nchi. Hata hivyo, kukagua siyo uamuzi rasmi wa kununua, it could be eye shoping.

 
Kazi imeanza rasmi.m4c washambulizi,juu,chini na majini.hawana pa kutokea hao vibaka ccm.
 
kumbe mpya hazinaga rangi!

pesa za wanyonge ndo mnatumia kufanyia huu ujinga wa kununua chopa,hakika hamtafika 2015 hamjagombana maana muheshimiwa Nyepesi anawapa wakati mgumu, kwa nini msinunue landrover au vitara mfanyie M4C,sasa hatudanganyiki na wanasiasa hakuna cha ccm wala chadema
 
kumbe jamaa alienda ulaya kushangaa chopa,kwa nini asingeenda pale KIA tu??ili kuepuka matumizi mabaya ya fedha
 
Najua CCM wanachota zaidi ya milioni 600; CHADEMA wanachota zaidi ya milioni 120; CUF zaidi milioni 100;..., kila mwezi! Ni haki?


Kwa hiyo, kama hoja ni kwanini vyama vipewe ruzuku, tusihusishe na Chopa inayokaguliwa na Lema huko London, kwa sababu hakuna anayejua zaidi ya mil kati ya 600( 800?) za CCM zinatumika kufanya nini?

Na kwa maoni yangu, Ruzuku ikifutwa CCM ndio itakuwa ya kwanza kufa. Sisi tumeshazoea kuchangishana huku mitaani kwetu, CCM wamezoea kupewa fedha tangu enzi ya chama kimoja.
 
Sasa wilcard,
Kama hoja ni kwanini vyama vya siasa vipewe Ruzuku hiyo ni hoja nyinginge kabisa na ni mjadala tofauti. Ila kwa sasa, as long as Ruzuku inatolewa kwa vyama vya siasa, Chadema wako sahihi kutumia Ruzuku kufanyia cho chote wanachoona kwa mujibu katiba yao, kanuni na makubaliano ya vikao husika. Na hawajavunja sheria yo yote wala katiba ya nchi. Hata hivyo, kukagua siyo uamuzi rasmi wa kununua, it could be eye shoping
.


inasikitisha sana kutumia mamilioni ya pesa kwenda kushangaa ndege ulaya.
 
Sasa wilcard,
Kama hoja ni kwanini vyama vya siasa vipewe Ruzuku hiyo ni hoja nyinginge kabisa na ni mjadala tofauti. Ila kwa sasa, as long as Ruzuku inatolewa kwa vyama vya siasa, Chadema wako sahihi kutumia Ruzuku kufanyia cho chote wanachoona kwa mujibu katiba yao, kanuni na makubaliano ya vikao husika. Na hawajavunja sheria yo yote wala katiba ya nchi. Hata hivyo, kukagua siyo uamuzi rasmi wa kununua, it could be eye shoping
.

Hili la RUZUKU nimelisema sana humu ikiwa ni pamoja na kuwaambia baadhi ya Wabunge niliowahi kutana nao humu na huko nje. Hakuna aliyenisikiliza. Wananufaika nalo na vyama vyao. Nilidhani CHADEMA wangenisikiliza angalau wakaisema Bungeni kama Zitto alivyoiongelea posho ya vikao.

Hoja yangu kwa leo ni namna baadhi ya watu wanavyoshangilia matumizi haya ya kijinga ya kodi zetu. Haya hayawezi kuwa malengo tuliojiwekea kwa kodi zetu. RUZUKU ni ufisadi halali wa kodi zetu. Tusishangilie chopa za akina Lema, Nape au Mtatiro!
 
Kwa hiyo, kama hoja ni kwanini vyama vipewe ruzuku, tusihusishe na Chopa inayokaguliwa na Lema huko London, kwa sababu hakuna anayejua zaidi ya mil kati ya 600( 800?) za ccm zinatumika kufanya nini? Na kwa maoni yangu, Ruzuku ikifutwa ccm ndio itakuwa ya kwanza kufa. Sisi tumeshazoea kuchangishana huku mitaani kwetu, ccm wamezoea kupewa fedha tangu enzi ya chama kimoja.

hapa tunajadili ushamba wa lema kwenda ulaya kushangaa ndege,sio misaada wanayopokea ccm.kaa ukijua kuwa ccm haifanyi biashara.kazi yake kubwa ni kushika dola
 
anakagua kwani yeye ni engineer??

nendeni mkawadanganye watoto wadogo au watu wanaomeza kila wanaloambiwa.

hapa jamaa anashangaa shangaa.
 
mwanzo mnzuri pale utapoona koti linakupa tabu unaliweka kando na kujalibu kuva njingine.
 
Kwa hiyo, kama hoja ni kwanini vyama vipewe ruzuku, tusihusishe na Chopa inayokaguliwa na Lema huko London, kwa sababu hakuna anayejua zaidi ya mil kati ya 600( 800?) za ccm zinatumika kufanya nini? Na kwa maoni yangu, Ruzuku ikifutwa ccm ndio itakuwa ya kwanza kufa. Sisi tumeshazoea kuchangishana huku mitaani kwetu, ccm wamezoea kupewa fedha tangu enzi ya chama kimoja.
Namna nzuri kabisa ya kuiondoa CCM madarakani ni kuifuta RUZUKU. Ruzuku hii ikiondolewa hata kesho, CCM itakufa ndani ya mwezi mmoja tu na NCHI itakuwa imekombolewa na madhila haya tuliomo sasa. Kutegemea sanduku la kura hata baada ya KATIBA mpya kuna kazi nzito.
CHADEMA onyesheni mambo tofauti na yanayofanywa na CCM sasa. Ruzuku hii muirudishe kwenye huduma za jamii kila mwezi.
 
aibu sana kwa mtu mzima kwenda kuuza sura kwa style hii.

Mtu makini hawezi kupanda juu ya bonet ya gari lazima itakuwa:bange:
212278807.jpg


S6300781.JPG




920_9585.jpg
 
Ww umefika wapi?

sehemu nyingi sana ... sina ushamba wa kupiga picha na chopa .. & magari etcl ... mi nampongeza lema kaamua kutoka kidogo nje ya bongo atoe matongotongo aone nchi nyingine watu walivyostaaribika hakuna siasa za jazba na vurugu .. i hope he will learn something from there asiishie kupiga ma snap tu
 
Imefikia kipindi ambacho mabadiliko ni muhimu kuliko kipindi chochote tangia tupate uhuru.
 
Lema bana ana mambo ya kizamani anapiga picha na Chopa harafu anawatumia wafuasi wake..

Nadhani hii ni tabia ya Watanzania tulio wengi hata Kikwete kuna siku kapiga picha anabembea nchi za watu alafu akazituma nyumbani
 
Back
Top Bottom