PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
attachment.php

Mhe. Lema leo alifuatana na makamanda wa CHADEMA wa jijini London kukagua moja ya vitendea kazi vya M4C ambapo pamoja na ununuzi wa vitendea kazi Lema atafungua tawi la CHADEMA London kesho Jumanne 7 Agosti, 2012 saa mbili usiku Thatched House Barking

Ni wazi kwa mtindo huu Lema ataendelea kuwa mwiba mkali na vuguvugu hili la M4C
 
Attachments

  • lema-chopper.jpg
    lema-chopper.jpg
    88.7 KB · Views: 20,103
Mhe. Lema leo alifuatana na makamanda wa CHADEMA wa jijini London kukagua moja ya vitendea kazi vya M4C ambapo pamoja na ununuzi wa vitendea kazi Lema atafungua tawi la CHADEMA London kesho Jumanne 7 Agosti, 2012 saa mbili usiku Thatched House Barking

Ni wazi kwa mtindo huu Lema ataendelea kuwa mwiba mkali na vuguvugu hili la M4C

Haya majamaa yana mambo ya kisasa mno!
 
mmmmh!! Lema the greatest .....................................................:israel::israel::israel::israel::israel:
 
Tunataka mabadiliko yenye tija,hivo hatuwezi kuwatenga wa tz walio nje ya nchi, Lema ni jembe,tunamkubali ni mtu makini asiyeogopa vitisho,ni mtu jasiri,ni mtu wa kuigwa kwa kujenga hoja makini, naamini kwa mnaopenda mabadiliko mtaniunga mkono,mtu makini hufanya vitu vilivyo makini. Big up Godbles Lema God bless u kama jina lako.
 
Mbona kama hii chopa ina itirafu katika propeller la upande wa pili? yasije kutokea ya late John Garang..
 
Ritz jana mmekomaa...oooh kingeledha...oooh hajui kingeledha, aibu ya msimu kwenu!
Jana tuliwaambia kuwa cha msingi ni comm skills jamani, si kizungu, hamuelewi.
Lema ni kijana mahiri ambaye kupitia kwake M4C iko bound kuleta matokeo ambayo hayakutarajiwa na mtu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom