Picha: Kuelekea Mikutano ya CHADEMA; Sugu Aliteka Mbeya Jana

Maendeleo gani unayotaka? Dola mnaichagua CCM maendeleo unataka CDM una akili wewe?
 
Alafu ile Kamati ya maadili kuwapa adhabu wabunge kadhaa wa upinzani ilikosea sana, unajua kuna msemo unasema kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua sasa ngoja Ukawa wawashe moto nchi nzima.
 
nani kampa kibali cha kufanya mkutano wa hadhara rpc jiandae kutupisha tulete mwingine atakayehakikisha kina sugu na genge lake hawahemi rc tutamwamishia manyara akiendelea kutoa nafasi ya kina olemiliya kufokas tutamtumbua hapa ni dola la mkono wa chuma vilaza/jesca tupa kule.
 
Mmmh mapema sana, watachuja muda si mrefu! Magufuli anachekelea tu kwa kuwachezesha kwata kabla ya shughuli yenyewe kukolea!
 
mbeya kuna nini wamejaa wapiga nondo na wanywa viroba washabiki wa chadema

Kwenye viroba serikali sikivu na chama pendwa ndo wanapata buku 7 ya kukupa pale lumumba na kufanya mwenyekiti wako kule nanhii aishi shauri ako kama hujui na vinatengezwa pale Changombe Tanzania hapa hapa
 
Tumekuwa hodari wa kutokubaliana na maamuzi/mashinikizo mbalimbali yanayofanywa,lakini tumekuwa pia hodari wa kutotoa majibu.Tutashinikisha weeee,lakini hakuna hatua au matokeo yoyote
 
Linganisha Mbeya na Singida au Sumbawanga ingawa sio kazi yake ni ya serikali iliyoko madarakani. Nafikiri kama una akili timamu umepata jibu.
 
Kwenye viroba serikali sikivu na chama pendwa ndo wanapata buku 7 ya kukupa pale lumumba na kufanya mwenyekiti wako kule nanhii aishi shauri ako kama hujui na vinatengezwa pale Changombe Tanzania hapa hapa
mbeya hakuna mtu mwenye akili timamu...mazezeta yamejaa huko
 
Back
Top Bottom