Picha: Kuelekea Mikutano ya CHADEMA; Sugu Aliteka Mbeya Jana

Daaah, tuliimiss sana hali hii

Wacha mi nijiandae kuandaa kuni tayari kwa kuchochea..!! Nadhani baba J somo la Udikteta hajalikalili sawasawa

BACK TANGANYIKA
 
Ingekuwa kukusanya watu wengi ndiyo kushinda uchaguzi basi tungekuwa na raisi ambaye ni lowasa.
 
Na hakuna watu wanafiki kama watu wa mbeya wanajifanya wanapenda chadema lakin kumbe waongo majimbo waliochukua chadema hayafiki matatu wamechukua mbeya mjin na tunduma lakin kote wamechukua ccm ikiwemo kwetu mbarali Rungwe, kyela, mbeya vijijin na sehemu zote ni ccm tupu kwa hiyo bado mbeya ni ngome ya ccm.
 
Jibu hapo nyie muliechagua ccm ndiyo wale VILAZA
 
Na hakuna watu wanafiki kama watu wa mbeya wanajifanya wanapenda chadema lakin kumbe waongo majimbo waliochukua chadema hayafiki matatu wamechukua mbeya mjin na tunduma lakin kote wamechukua ccm ikiwemo kwetu mbarali Rungwe, kyela, mbeya vijijin na sehemu zote ni ccm tupu kwa hiyo bado mbeya ni ngome ya ccm.

Wamechukua kwa wizi wa Kura
 
Kwa wale psycophant wa CCM mliodhani Mh. Rais kashamaliza kazi na kwamba wabunge wa upinzani hawana ufuasi na ushawishi kwa wananchi mnapaswa kujifikiria upya...

Kuelekea mikutano mikubwa ya CHADEMA itakayorindima mkoa kwa mkoa wabunge wa chama hiki kikubwa cha upinzani wameshaanza kutengeneza mapito na kuwaandaa wananchi kuwapokea viongozi wa juu wa chama...

Kama mnavyojua ziara hii inachagizwa na kitendo cha wabunge kufukuzwa kwa kosa la kupinga makatazo yenye mkono wa serikali kuu kukatisha minakasha ya bunge kuoneshwa moja kwa moja, ubabe wa dhairi wa uongozi wa bunge, kupanda kwa gharama za maisha ikiwemo bidhaa muhimu kwa wananchi wa kawaida, kufukuzwa kinyama kwa wanafunzi wa UDOM n.k

View attachment 353813
View attachment 353813 View attachment 353814
View attachment 353815
Kuna kila dalili ya wanafunzi wa Mbeya mjini kuongoza kwa matumizi ya computer siku za mbele , baada ya Mh Sugu kumwaga computer shule zote .
Poleni sana CHADEMA, hamjui kuwa kuandaa na kuendesha mikutano nchi nzima ni kupigishwa KWATA bila kujijua? Mpaka hapo mmezidiwa kisawasawa. Kama mngekuwa na haja za msingi, mngeishtaki serikali mahakamani. Poleni sana ndugu zangu CHADEMA.
 
Back
Top Bottom