Elections 2010 Picha: Kikwete Tanga, Bumbuli, Kilindi, Kilimanjaro, Arusha

Si unajua tena January pesa zote za ufisadi alizokuwa ameaandaa kwa ajili ya kampeni hazitatumika.
Inabidi kulipa watu na kuwaleta kwenye mikutano kama hii.

I couldn't agree with you more aisee. Watu wote hawa wamelipwa kila siku na kusombwa na malori ya CCM. It makes sense babu.

Last edited by a moderator:

04_09_4heph61.jpg
 
Hivi ni kweli kuwa RISALA za Muungwana Kikwete huwa zinaandikwa na January Makamba?

Kama huyu jamaa akiwa Waziri au Waziri Mkuu, tutegemee nini?

Ni sababu nyingine kwa nini Dr. Slaa lazima awe Rais ili kuondoa watu kama huyu January Makamba, Masha, Kawamba na wengine wengi ambao uongozi wao tuliuona kuanzia mwaka 2005 hadi leo hii.

Sidhani kama mtu ana akili zake sahihi halioni hili. Hata wanaoishangilia CCM hapa JF wanafanya hivyo na jioni kwenda kukinga kibakuri kwa mweka hazina wa CCM ili wapate vipande vyao 30 kwa kuwasaliti Watanzania.

AMKA WEE MTANZANIA.
 
Mwafrika na Rev,

Hivi mnapoweka hizi picha zenu huwa mna maanisha kitu gani?..
Hamfurahisi mtu na wala sii mas-hala..Au labda mimi nakosea kusoma ujumbe wenu!.
 
Uhakika unao???Hili ndilo tatizo la miafrika!!!Hisia hisia hisia.
 
Mwafrika na Rev,

Hivi mnapoweka hizi picha zenu huwa mna maanisha kitu gani?..
Au labda mimi nakosea kusoma ujumbe wenu!.

Mkuu mbona hazina shida ni mambo ya kampeni tu! Hasa kwa rafiki yetu Tandale one na group lake la kina Malaria Sugu, dubo, pengo, yaya, padri, selemani, notra....wapo wengi na ujumbe wanaupata sawia.
 
Pete yenyewe ni hii au nyingine?

kikwete-msanii.jpg
Sheikh-Yahaya-Hussein-700347.JPG

Kenyewe kanapiga ya Njano...... Hiyo ni kali zaidi atakuja kukabidhiwa Ridhiwan

Yaani hadi PETE zao eti ni CCM (Green and Yellow), lohh!!!!
JF Kiboko ile pete alopewa na Sheikh Yahaya naona hajaivaa!
 
Mwafrika na Rev,

Hivi mnapoweka hizi picha zenu huwa mna maanisha kitu gani?..
Hamfurahisi mtu na wala sii mas-hala..Au labda mimi nakosea kusoma ujumbe wenu!.

Mkandara,

Hizi picha zinamhusu Tandale one na group lake la kina Malaria Sugu, dubo, pengo etc
Wao wanapata ujumbe moja kwa moja. Hazina maana nyingine yoyote zaidi ya iliyokusudiwa
 
Back
Top Bottom