Picha: Kikosi cha Yanga kilichoichapa Simba 1-0 mwaka 1992, wakiwa na jezi kali tu

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
335
661
METHD MOGELLA YANGA.jpg
Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru (sasa Taifa) Jijini Dar es Salaam. Bao hilo pekee la Yanga lilifungwa na beki wa kushoto, Kenneth Pius Mkapa dakika ya 10 akimtungua kipa hodari, Mwameja Moha

Wakati YANGA wana JEZI kali 1992 Pichani chini SIMBA iliyocheza FAINALI mashud abiola cup 1993 wakiwa na Jezi za MANCHESTER UNITED. Nashangaa wanavyodai kuwa timu ya kwanza kuvaa jezi

SIMBA 1993 CAF SHARP.jpg

Ila we mleta mada ni pimbi hasa. Kwahiyo unavyosema unashangaa timu fulani kudai kuwa ni ya kwanza kuvaa jezi, halafu unaleta picha za mwaka 1992, kwani mwaka huo ndo timu zilianza kuvaa jezi?
 
Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru (sasa Taifa) Jijini Dar es Salaam. Bao hilo pekee la Yanga lilifungwa na beki wa kushoto, Kenneth Pius Mkapa dakika ya 10 akimtungua kipa hodari, Mwameja Moha

Wakati YANGA wana JEZI kali 1992 Pichani chini SIMBA iliyocheza FAINALI mashud abiola cup 1993 wakiwa na Jezi za MANCHESTER UNITED. Nashangaa wanavyodai kuwa timu ya kwanza kuvaa jezi

Siku zote sikio halizidi kichwa. Mdogo ni mdogo tu. Simba hawajawahi kupatia kwenye suala zima la jezi. Yanga ataendelea kubakia kuwa baba lao.
 
Yaani kipa na wachezaji wanawadhamini wawili kifuani, Simba hawajawahi kuwa siriazi
 
Back
Top Bottom