Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wakuu,

Najua ufungaji wa JK mmeuona kirahisi na huko Mbeya hamkufanikiwa kujua kwa ukaribu kilichojiri kwa video au picha.

Hizi ni baadhi ya picha nilizozinasa nawakilisha

Bango.jpg

GarilaPolisi.jpg

Gari la Polisi la maji ya kuwasha, likiranda katika mitaa ya jiji la Mbeya mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kufunga kampeni za mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Kadaakikabidhivazi.jpg

Aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Haule, akimakabidhi moja ya mavazi ya chama hicho mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kukihama na kujiunga na Chadema

PichayaNyererenaSlaa1.jpg

PichayaNyererenaSlaa2.jpg

SehemuyaumatiMbeya1.jpg

SlaakuhutubiaMbeya2.jpg

SlaaakimnadiSugu1.jpg


Akiondoka uwanjani:

SlaakuondokaUwanjani.jpg

Slaakusindikizwa1.jpg
 
Mkuu asante sana kwa picha,kweli watanzania wamemchoka JK na CCM yake.
 
Mugumu hii imetulia, the pics are so lovely! Piya kuna hilo bango la Nyerere pointing at Dr. Slaa, it is such a wonderful pic
 
Asante sana Mugumu, kama una Clip za Maandamano tafadhali ziweke watu wajionee wenyewe maana Kampeni tutaziendeleza kwa Njia ya Simu, leo nitawapigia simu wale wote walio kwenye phone book yangu kuwakumbusha
 
Hii nyomi si ya kawaida. Duh! Asante sana kwa picha. Kesho tunampiga Drago (ccm) pigo kuu na la ushindi. Kura kwa Slaa. Mungu akubariki sana mkombozi wa nchi yetu.
 
Mugumu, nimekubali, slaa kafunika mbeya! Mungu ibariki tz, mungu mbariki dr. Slaa
 
yaani hakuna nguvu ya marais wa wastaafu, matangazo ya bei mbaya, jukwaa la kisasa, nyimbo na muziki.. mmh.. nadhani kutahitajika tafsiri sahiihi ya hii mikutano maana mingine haiingii akilini.. kweli ni wakati wa mabadiliko..
 
yaani hakuna nguvu ya marais wa wastaafu, matangazo ya bei mbaya, jukwaa la kisasa, nyimbo na muziki.. mmh.. nadhani kutahitajika tafsiri sahiihi ya hii mikutano maana mingine haiingii akilini.. kweli ni wakati wa mabadiliko..


Mkuu Mwanakjiji I wish you were there may be ungeweza kuelezea, Wamama na Baiskeli zenye bendera wakihamasishwa na Wananchi wanaooneka kuchoshwa na CCM lakini wanaangushwa na Wasomi wa Dar Es Salaam. Kweli leo nimelia
 
asante mkuu kutuwekea hizi taarifa ambazo serikali ya ccm inapigana kila namna watu wasifahamu hali halisi, ila kwa safari hii wakiziba sebuleni watu wanapitia uani.
 
yaani hakuna nguvu ya marais wa wastaafu, matangazo ya bei mbaya, jukwaa la kisasa, nyimbo na muziki.. mmh.. nadhani kutahitajika tafsiri sahiihi ya hii mikutano maana mingine haiingii akilini.. kweli ni wakati wa mabadiliko..

Hivi nakumbuka vizuri? Slaa alikuwa CCM, fulani alikuwa CCM, na fulani naye, nk sasa wako UPINZANI, ndo kusema kama alivyosema Nyerere kuwa UPINZANI wa kweli utatoka CCM humohumo? mhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuux10exp10
 
Naongezea nyingine wakuu, mkiangalia 1st post itakuwa updated muda si mrefu
 
You can visit facebook http://www.facebook.com/Kikwete/posts/158051814231488


Lisa M Rockefeller as part of my mission work, I was in Tanzania, that was back in 2003. I was in Mbeya for 6 months. A loaf of bread was Tsh. 300, today same loaf is Tsh 900, what gain can he claim or how has he helped the country? USD1 was Tsh. 475 today 1USd is Tsh. 1500, C'mmon dude, you know better than that. Your candidate has delivered -35%; meaning he has driven Tanzanian economy into negative territory -35% about


Lisa M Rockefeller ‎@Thakur, keep up your hard work, but know that. even if you are in the manufacturing industry, as much as he is destroying your country, you may end up finding you worked for nothing all of your life. Look at Zimbabwe, there are people who owned so much, but at the end of the day ownded nothing because Mugabe destroyed their future. He is no different from Kikwete, the only difference is that, Mugabe is brilliant and Kikwete is "dummy"

Lisa M Rockefeller ‎@Rasel, dont quote my family. Quote me as an activist, wanting good for the Tanzanian people. Where is Bush, where is Obama they are soon becoming history, Americans know what best for them. once you screw up, no second chance. Kikwete plays too much, how can a president tell you something in the audience and when you see him he smiles at you like a little baby? Head of State? Please !!!!

Lisa M Rockefeller All Tanzanian's both in and outside the country, please take a phone call one or two of your family members, let them know their vote counts, and they should send the message to all they know that Kikwete does not deserve a second chance, dont be intimidated, your ballot power is more powerful than their tear gases. i have just recived a text from a friend in Mumbeya that, they have been tear gased. this it the family that kept me in Tanzania, and their son locked up
 
Narejea kauli ya mwanakijiji tukimpigia kura za ndio nyingi Slaa ata kuiba itakuwa issue labda kuzipunguza the same kwa wabunge na madiwani
JK asipopata stroke kesho sijui manake ataletewa matokeo na atasema not useful
 
Ukiangalia picha ya mwisho watu wakimsindikiza utakubali kuwa kweli kulikuwa na nyomi si mchezo. Mwaka huu ipo kazi
 
Ukiangalia picha ya mwisho watu wakimsindikiza utakubali kuwa kweli kulikuwa na nyomi si mchezo. Mwaka huu ipo kazi

Huyo mama anayeokota Kiatu chake karibu na Gari la Dokta Slaa ametaka kunitoa machozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom