Picha: Joseph Mbilinyi jana akiwa kwenye campaign ya UCHAGUZI kata ya IYELA, MBEYA

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
.Joseph Mbilinyi akiwa Jimboni kwake kata ya IYELA kwenye Uchaguzi...


977963_10151447671372548_637737330_o.jpg
 
Chezea MaCDM wacha bana. Hapa nyinyiem wangesombelea kwa mabasi ,costa na bado gali binafsi
 
Waambie sisim wasisombelee watu uone kazi ka si vitoto vitabaki tu vinashangsaa shangaaaa......Ila M4C hata mkutano ukiwa kilomita 20 watu wanachapa lapa tu.......Raha kweli hii
 
Ile nyumba ndogo ya mwigulu pamoja na kaka yake (mtele - shemeji yake mwigulu), wanaokula full kiyoyozi kwenye VX, wako wapi waje kutoa mapovu yao hapa...
 
Back
Top Bottom