Picha: Joseph Mbilinyi jana akiwa kwenye campaign ya UCHAGUZI kata ya IYELA, MBEYA

Mbeya ipo kaskazini?

Hata mimi najiuliza jambo hilohilo, hivi sugu ni mchaga pia? Manake nasikiaga CDM ni chama cha wakaskazini iliyosheheni wachaga! Chichiem wacha propaganda, CDM ni chama cha watanzania, haina mrengo wa ukanda ukabila wala udini.
 
Back
Top Bottom