Picha: JK kwenye ghorofa liloloporomoka

mkulu naona hapo kapata picha nzuri na hilo shati lake ndo cha maana hapo.
kesho utasikia tume ya watu kumi

Hv President hahitaji PPE like dust mask kama walivyo wengine?
 
IMG_8350.JPG

Wazee wa intelijensia na vitu vizito vyenye ncha kali wakiwa katika eneo la uokoaji!

JF bwana!, no stress! Na ukiwa nayo umetaka mwenyewe. Humu kuna kila aina ya watu.

Ila namshukuru Mungu matumizi ya lugha ngumu yamepungua kwa kiasi kikubwa.

Viva JF, poleni wahanga.

Mwisho happy Easter wana JF.
Queen Esther
 
halafu kunausemi huwa unaniudhi na utatamkwa hapo kwa wafiwa kuwa kazi ya Mungu haina makosa au Mungu aliwapenda zaidi waliopoteza maisha tukimalizia na kibwagizo jina la Bwana lihimidiwe. hapa ilikuwa nikuchunguza kitaalamu ikibainika uzembe wa contr. ni kunyonga tu no mahakamani
 
mkulu naona hapo kapata picha nzuri na hilo shati lake ndo cha maana hapo.
kesho utasikia tume ya watu kumi

Hv President hahitaji PPE like dust mask kama walivyo wengine?

JK anapenda kavukavu, angalia msururu wa "watoto wa nje".
 
Komredi, hapo unamlenga nani? Lakini sentesi yako imejielekeza zaidi kwa Kova! Au nimekosea?

Alafu jamaa ana kipaji cha pekee watu hawajamjua. Si unaona hapo jicho moja linamwangalia JK alafu jicho lingine linaangalia ghorofa lililoporomoka kisha nae anaporomosha maelezo. Chezea kamanda mdaka chizi Mkenya weye.
 
Mheshimiwa Rais JK amezuru eneo la maafa pale kulipoporomoka ghorofa leo asubuhi.

attachment.php
Mhabeshi na mzee wa tindikali a.k.a MACHO KODO bin KENGEZA wakishusha maelezo kwa mkulu wao mapema kabla hajawqashushia lawama. Wananchi wakae chonjo MACHO KODO hachelewi kumdaka mtu akasingizia ndie aliyemdhuru Kibanda.
 
Hivi hapa JK anachosikitikia ni jengo kuanguka ama nini? Kama angelikuwa na uchungu na watu asingeridhia mamilioni ya wakristo wauawe!. Watz wangapi waniapoteza maisha kwa ajli ya ubovu wa serikali yake? Raslimali za taifa ngapi zinapotea akifahamu lakini kafumbia macho? Anachotaka kusema madhara ya jengo hili yanamgusa kuliko madhara ya ufisadi wa ccm?

Afadhali angekauka tu kama livyokauka kwenye mauaji ya Mwangosi. Hapa ni kujikosha tu.
 
Kwa maelezo ya mkurugenzi wa NHC ni kwamba shirika hilo liko ubia na wamiliki kwa asilimia 20 lakini halihusiki kwa namna yoyote katika ujenzi wa jengo hilo.
 
CRB, ERB, NHC, Engineer manispaa AIBU, mAANA UBUNGO STENDI HOVYO KKOO HOVYO RUSHWA IMEPOFUSHA MACHO.
 
his subordinates knows that jakaya kikwete is a namby pamby president, hawezi kumuajibisha yeyote kati yao.
 
Mchechu na timu yake waachwe kabisa katika hili. Kumbuka jengo hili lilianza kujengwa mwaka 2008 wakati Mchechu akiwa haijui NHC kwa maana ya utendaji! Alipoingia alikuta kuna mikataba ya kipuuzi mingi mno. Akafuta mikataba 64. huu ni mmoja wa mikataba iliyoingiwa na watangulizi wake ambao hawakuwa na chembe ya uzalendo. kwa hiyo kumshutumu yeye na timu yake ya kina Mndolwa, Suzy na wengine wengi, ni kuwaonea. Tuwe wakweli.
Manyerere,
Wewe na Kibonde wa Clouds na waandishi wengine wa aina yenu tunafahamu mnavyoishi na wakuu wa taasisi nyingi za umma. Una haki ya kusema haya na kuilinda kwa nguvu zote menejimenti mpya ya NHC. Kwa nini Mchechu hakuufuta mkataba huu mbovu kabisa ambao NHC imebaki na 25% tu ya umiliki?
 
Back
Top Bottom