Picha: JK kwenye ghorofa liloloporomoka

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
2,436
4,429
Mheshimiwa Rais JK amezuru eneo la maafa pale kulipoporomoka ghorofa leo asubuhi.

attachment.php
 
Attachments

  • kikwete-ghorofa-dar.jpg
    kikwete-ghorofa-dar.jpg
    83 KB · Views: 2,521
Boss,

Una habari kuwa client hapo ni NHC?

Yaani jengo la taasisi ya umma linajengwa kiholela hadi linaanguka na kuchukua roho za watu?!

Huyo MD wa NHC ana maelezo gani?

Hasara iliyopatikana nani atafidia?

Huy md wa NHC yuko kisiasa siasa zaidi
yuko full masifa
last time aliandaa mdahalo Karimjee hall
na wakazi wa NHC kujadili wauziwe au wasiuziwe nyumba za NHC
kumbe alishaamua kuwa hawauziwi lol

sasa hili la kuingia partnership na watu binafsi na kuwaacha hao watu binafsi
wajifanyie wanalotaka bila NHC kujali quality ndo nalishangaa sasa

achilia mbali kwamba ile old Daresaalam ndio ina dsapear so fast
na infrastructure za City center za ku replace two stories building with a 20 stories building haziruhusu that much
hii nchi bana ...
 
Mimi hapo kwenye kubomoa mji wa zamani tu ndio kinaniuma sana!
 
Kimsingi hatakiwi kuingia ubia na watu/makampuni binafsi kisha kuwaacha wao wafanye watakalo.

Aje atueleze kama aliwafanyia uchunguzi hao wakandarasi au la.

Pale hatakiwi kufanya siasa maana roho za watu watakao kaa kwenye majengo hayo zipo mikononi mwake, mbali ya hasara ya mabilioni ya fedha iwapo linatokea la kutokea

On a lighter note;

alitakiwa kujiuzulu kwa kuzipaka nyumba za NHC rangi ya pink!.
 
Mimi hapo kwenye kubomoa mji wa zamani tu ndio kinaniuma sana!

Japo kuwa anatakiwa athamini historia lakini ninadhani jukumu la kuhifadhi mji wa zamani na muonekano wa jiji zima ni la Kitengo cha mipangomiji

Yeye kosa lake ni kutothamini cha kale ila sheria ya nchi haimkatazi
 
Boss,

Una habari kuwa client hapo ni NHC?

Yaani jengo la taasisi ya umma linajengwa kiholela hadi linaanguka na kuchukua roho za watu?!

Huyo MD wa NHC ana maelezo gani?

Hasara iliyopatikana nani atafidia?

Nhc!? C ndo yule kijana anasifiwa sana kibonde wa clouds kwa kazi nzuri?
 
Mimi hapo kwenye kubomoa mji wa zamani tu ndio kinaniuma sana!

Hawa wenye madaraka wanajitahidi kuifuta history ya Dar! Usijeshangaa ukakuta hata Askari monument imeondolewa! To make matters worse, majengo mengi yanayonyanyuka hata architectural beauty hayana!
 
Labda safari hii anaweza kuwa mkali kidogo! Tusubiri.

Usitarajie hilo hata siku moja, Sitta alimwambia live matokeo yake akamfanyia zengwe hadi akamwondoa kwenye nafasi ya Spika, tuombe Mungu atufikishe 2015 vinginevyo kila aina ya zahama tutaiona hapa Tanzania,
 
Japo kuwa anatakiwa athamini historia lakini ninadhani jukumu la kuhifadhi mji wa zamani na muonekano wa jiji zima ni la Kitengo cha mipangomiji

Yeye kosa lake ni kutothamini cha kale ila sheria ya nchi haimkatazi

Yeye na hao watu wa mipango miji wote kapu moja tu!
Kwanza hata Sheria za Jeshi la Zima moto Tanzania haziruhusu kujengwa ghorofa zaidi ya Dar, 10 kwa maana hawana uwezo wa kiteknolojia kuzima Moto kuanzia ghorofa ya 10 na kuendelea, na kisheria ni lazima upate kibali cha Zima moto ndio uweze kujenga ghorofa, cha ajabu kuliko vyote hao NHC ni Shirika la Serikali hivyo walipaswa kuwa wa kwanza kufwata Sheria na si kunyume chake!

Usitarajie hilo hata siku moja, Sitta alimwambia live matokeo yake akamfanyia zengwe hadi akamwondoa kwenye nafasi ya Spika, tuombe Mungu atufikishe 2015 vinginevyo kila aina ya zahama tutaiona hapa Tanzania,

Watanzania mmekuwa wakali mno! Punguzeni ukali jamani!
 
Nhc!? C ndo yule kijana anasifiwa sana kibonde wa clouds kwa kazi nzuri?

Sijui kama anasifiwa na Kibonde wa Clouds FM, ila Mchechu amekuwa akisifiwa na wengi kwamba ni mchapa kazi licha ya gharama kubwa ya nyumba za NHC hivi sasa

Kwa hili hasameheki, aje ajieleze
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Back
Top Bottom