Mifumuko ya bei na gharama zote za maisha kwa Mtanzania, ambapo mzigo unakuwa mkubwa huku ukiongezewa na ku fail kwa systems zote za serikali na panakuwa hakuna pakukimbilia wala msaada na mwanamchi anajikuta anakata tamaa na anateseka tu. We ongezea zigo lingine tu na kama mnataka hata dunia yote mwaweza kuiingiza ktk mkokoteni huu mie sijali sijui mnaita DOWANS sijui haya twende!! nilisha kata tamaa! lol!
Hutakosea ukiifananisha na Mikataba mibovu inavyo tuelemea wananchi badala ya walengwa halisi wanaoingia mikataba hiyo. Ngoma wapige wao kucheza tucheze kinasisi huku wao wanakula kuku kwa mlija huku wakitu ng'ong'aaaaaaaaaaaaaaa. Tunalo wazeeeeeeeeeeee kazi kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.