picha: HECHE ALIZA WAKAZI WA KEKO( TEMEKE)

Umeonaee! hata mi sijaona hawa magwanda kwa uzushi! balaa!

Wewe kwako na "Sweety wako" kulia ni kufanyaje? Kusikia Mayowe? Kuona machozi? Ushaambiwa "picha ya mnato" huwezi kusikia mayowe!! labda kama ingekuwa "picha tembezi". "Nyie ndo wale mnachungulia mdomoni kwa mtu aliye kwenye picha kuona anakula nini!!
 
Kumbe Chadema sehemu nyingine huwa mikutano yao wanaifanya kwa amani kabisa. Thats how it should be.
 
jali mada inayo ongelewa, kalia hajalia huo ni utmbo, walicho fanya policcm ni jambo la aibu la kusitikisha sana, tena niaibu kwa taifa zima. tuache ushabiki wa kibwege kwenye mambo ya maana. uhai wa mtu asiye na kosa umepotea. wala hili jambo halitakiwi kuwa na ushabiki wa kisiasa, nyie ni binadamua siyo ng'ombe, kuweni na akili angalau kidogo
 
Chadema naona this time wameamua kuja na style ya kulia lia kama zile movie za kihindi.
 
kazi bado yaani mpaka 2015 ccm kitakuwa kicha cha kukimbiwa na wananchi yaani watakuwa wanakumbana na wananchi wanaenda kulia wao wanaenda kushoto
 
Kumbe Chadema sehemu nyingine huwa mikutano yao wanaifanya kwa amani kabisa. Thats how it should be.
wanaoleta fujo ni vijana wa intelijensia ya kulinda watawala wasiondolewe madarakani hawa wapo saana
 
kama si gamba basi ni kipofu wa akili
familia ya heche haiko keko kila akifanya vyema mnasema mwacheni dogo alonge mlisema kawekwa hana uwezo leo anapiga kazi na kuweka watu ndani ya chama mnakasirika nin?

Achana na hayo mavuvuzela ya Nape.....hayanaga jema......kazi yao kubwa ni kubwabwaja!......ukishindana nayo hutaweza manake yenyewe yako kazini!
 
Kamanda Heche, Hongera kwa kazi nzuri ya vuguvugu la mabadiliko lakini nasikitika kuwa Chadema haija fanya vizuri kule Musoma Vijijini, M4C Haija fika kabisa! Mkono ameonekana ni mbunge mfalme ndio maana amefikia kutoa kufuru ya maneno yake mwenyewe kwamba yeye ni mbunge wa maisha labda kifo tu kitamuondoa! Musoma vijijini Bado ni wilaya ya mwisho kwa umasikini Tanzania, lakini bado wanaisujudia CCM! Siyo kosa lao, ila umasikini na elimu ya uraia! Naomba kusikia ratiba ya M4C pande hizi! Watu wako tayari ila wanahitaji kuamshwa!
 
Back
Top Bottom