Picha: Mikutano Muleba - Heche aliyoyaacha Bukoba moto waiwakia CCM

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
View attachment 66478View attachment 66479 photo(13).JPG View attachment 66482View attachment 66483View attachment 66485View attachment 66484

KAMACHUMU

1. HECHE AKIHUTUBIA MKUTANO
2. AKIPOKEA WANACHAMA
3 PICHA NA VIONGOZI WA MULEBA

ANSBERT NGURUMO ALIYE NA KOMBART NYEUSI

picha zote kwa hisani ya FADECO CIMMUNICATION NA NGURUMO .BLOGSPOT.COM

katika hali inayoashiria kuwa CHADEMA wameamua kujikita vijijini kwa vitendo wiki hii nzima kulikuwa na ZIARA nzito saana hapa wilayani MULEBA iliyokuwa chini ya usimamizi wa mwkt wa vijana taifa NDG JOHN HECHE akiongozana na aliyekuwa diwani wa kata ya sombetin ARUSHA bwn ALPHONCE MAWAZO ,kamanda mhariri wa gazeti la TANZANIA DAIMA pia mwanaharakati wa siku nyingi NDG ANSBERT NGURUMO katika hotuba yake ndugu heche aliyekuwa akisikika moja kwa moja kupitia RADIO FADECO alisisitiza nini malengo ya CHADEMA hapo wanapoenda kuchukua nchi kama alivyonukuliwa

" NDUGU ZANGU WANA MULEBA SISI KAMA CHAMA TUNAENDA KUCHUKUA NCHI SI KWA LENGO LA KUPATA ZAMU YA KUVUNA RASLIMALI ZA NCHI KAMA WATU WA CCM WANAVYOFANYA TUNA MALENGO YA KUHAKIKISHA KUWA NCHI HII INARUDI KATIKA HADHI YAKE NA TUTAUNDA SERIKALI INAYOTOKANA NA NYIE WENYEWE NA MADHUMUNI YA CHAMA CHETU NI KUHAKIKISHA KINAPIGANIA MATATIZO YENU NA KUWANUSURU KATIKA LINDI ZITO LA UMASKINI MLILORUSHIWA NA CCM BILA KUTAKA" alisema heche"
ndugu zangu mtuunge mkono tunapopambana na mtuombee
kwa kuwa tumezungukwa na maadui wengi tunapopigania maslahi yenu ya kiafya,elimu,madini,misitu,utaifa kupinga ubadhirifu,ufisadi,mikataba mibovu,na vitu vingine kama hivyo watawala huona hata ni bora tusiiishi ili msiweze kuelimishwa

sisi kama cha watu tunasema chama chochote kinachoshindwa kupigania matatizo ya watu wake hicho kimekoswa haki mbele ya watu hao TUPENI NCHI TUKISHINDWA MTUONDOE LAKINI KWA SASA TUNAWAHAKIKISHIA TUMEJIPANGA

mikutano hiyo iliyopata idadi ya kuwa mikutano 9 ndani ya siku 4 katika maeneo tofauti ya jimbo iliyojaa hotuba zenye mguso na mvuto mpaka sasa wananchi walirekodi speech za ndg heche na wanaendelea kusikiliza mpaka leo na wengine kutumia kama ring tone jumla ya kadi 362 za CCM ZIMEREJESHWA pia wanachama wapya 549 wamejiunga na chadema

katika hatua nyingine hapa jimboni ambako mpaka sasa kamanda ngurumo mtaalam wa MASWALI MAGUMU AMEENDELEA KUHAMASISHA chama kwa vikao mbalimbali hata kufikia hatua ya kuwasilishiwa matatizo ya wakazi wa muleba kama sasa tayari amefiti kuwa kama msemaji wao na mtatuzi wa matatizo yao ngurumo ambaye ameapa kuwasaidia wanajimbo na kuwaahidi wasijione yatima kwa kukoswa msemaji shupavu anayewasemea alimpokea ndugu richard muyaga mfanyabiashara maarufu aliyefunga bendera kwenye gari lake na kubeba watu kwenda mkutanoni nyakatanga na kusababisha kizazaa ndani ya CCM muleba kwa kuanza kupukutikiwa na watu maarufu

M4C inaendelea muleba
 
dogo heche amekuja vizuri na bavicha yake kwa hoja hizi hata unaibu katibu mkuu jamaa zako sasa wakufikirie unaweza mpaka huku migombaniii!!! njini sasa hutuliii
 
hakika kamanda HECHE unaweza kupiga harakati .ila tatizo ukishamaliza mikutano kuwe na semina ili 2pate vijana waadilifu kwn kuokotaokota vijana inaweza kukigharimu chama, inaweza kuwa rahisi kununuliwa especially wkti wa general election.
 
Ndizi safi kabisa hizo, tunaweza kuuza popote duniani, lakini wananchi wanaishi kwenye nyumba za nyasi. Bila kuiondoa ccm madarakani maendeleo yataendelea kuwa ndoto tu.
 
Kamavijana, nilazima tuunganishe nguvuzetu katika kuhakikisha tunatoa elimu kwa umma iliwapate kuelewa nizipi ambazo ni hakizao na nikwa namnagani CCM wamekuwa wakiwahujumu hakizao hasa pale wanapo wanyima elimu ya uraia nahivyo kupelekea wananchi kushindwa kujua masuala ya msingi katika jamii yao, namna ya kuya simamia na namna ya kuya hoji.
CHADEMA tukiwa kama watu ambao ni waelewa sasa nilazima tufanye kazi hii kwa bidii ilikuhakikisha mpaka ifikapo 2014 wananchi wanakuwa na uelewa wakutosha kuhusu haki zao na umuhimu wa kuzitumia katika kujenga mustakabali imara wa taifaletu.
MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU IBARIKI CHADEMA.
 
Hongera sana bwana Heche mnafanya kazi kubwa sana kuimarisha chama Mungu awatungulie!
 
View attachment 66478View attachment 66479View attachment 66481View attachment 66482View attachment 66483View attachment 66485View attachment 66484

KAMACHUMU

1. HECHE AKIHUTUBIA MKUTANO
2. AKIPOKEA WANACHAMA
3 PICHA NA VIONGOZI WA MULEBA

ANSBERT NGURUMO ALIYE NA KOMBART NYEUSI

picha zote kwa hisani ya FADECO CIMMUNICATION NA NGURUMO .BLOGSPOT.COM

katika hali inayoashiria kuwa CHADEMA wameamua kujikita vijijini kwa vitendo wiki hii nzima kulikuwa na ZIARA nzito saana hapa wilayani MULEBA iliyokuwa chini ya usimamizi wa mwkt wa vijana taifa NDG JOHN HECHE akiongozana na aliyekuwa diwani wa kata ya sombetin ARUSHA bwn ALPHONCE MAWAZO ,kamanda mhariri wa gazeti la TANZANIA DAIMA pia mwanaharakati wa siku nyingi NDG ANSBERT NGURUMO katika hotuba yake ndugu heche aliyekuwa akisikika moja kwa moja kupitia RADIO FADECO alisisitiza nini malengo ya CHADEMA hapo wanapoenda kuchukua nchi kama alivyonukuliwa

" NDUGU ZANGU WANA MULEBA SISI KAMA CHAMA TUNAENDA KUCHUKUA NCHI SI KWA LENGO LA KUPATA ZAMU YA KUVUNA RASLIMALI ZA NCHI KAMA WATU WA CCM WANAVYOFANYA TUNA MALENGO YA KUHAKIKISHA KUWA NCHI HII INARUDI KATIKA HADHI YAKE NA TUTAUNDA SERIKALI INAYOTOKANA NA NYIE WENYEWE NA MADHUMUNI YA CHAMA CHETU NI KUHAKIKISHA KINAPIGANIA MATATIZO YENU NA KUWANUSURU KATIKA LINDI ZITO LA UMASKINI MLILORUSHIWA NA CCM BILA KUTAKA" alisema heche"
ndugu zangu mtuunge mkono tunapopambana na mtuombee
kwa kuwa tumezungukwa na maadui wengi tunapopigania maslahi yenu ya kiafya,elimu,madini,misitu,utaifa kupinga ubadhirifu,ufisadi,mikataba mibovu,na vitu vingine kama hivyo watawala huona hata ni bora tusiiishi ili msiweze kuelimishwa

sisi kama cha watu tunasema chama chochote kinachoshindwa kupigania matatizo ya watu wake hicho kimekoswa haki mbele ya watu hao TUPENI NCHI TUKISHINDWA MTUONDOE LAKINI KWA SASA TUNAWAHAKIKISHIA TUMEJIPANGA

mikutano hiyo iliyopata idadi ya kuwa mikutano 9 ndani ya siku 4 katika maeneo tofauti ya jimbo iliyojaa hotuba zenye mguso na mvuto mpaka sasa wananchi walirekodi speech za ndg heche na wanaendelea kusikiliza mpaka leo na wengine kutumia kama ring tone jumla ya kadi 362 za CCM ZIMEREJESHWA pia wanachama wapya 549 wamejiunga na chadema

katika hatua nyingine hapa jimboni ambako mpaka sasa kamanda ngurumo mtaalam wa MASWALI MAGUMU AMEENDELEA KUHAMASISHA chama kwa vikao mbalimbali hata kufikia hatua ya kuwasilishiwa matatizo ya wakazi wa muleba kama sasa tayari amefiti kuwa kama msemaji wao na mtatuzi wa matatizo yao ngurumo ambaye ameapa kuwasaidia wanajimbo na kuwaahidi wasijione yatima kwa kukoswa msemaji shupavu anayewasemea alimpokea ndugu richard muyaga mfanyabiashara maarufu aliyefunga bendera kwenye gari lake na kubeba watu kwenda mkutanoni nyakatanga na kusababisha kizazaa ndani ya CCM muleba kwa kuanza kupukutikiwa na watu maarufu

M4C inaendelea muleba

Hakika naunga mkono pendekezo la wanachama wengi kwamba Heche awe Naibu Katibu mkuu wa chama.
 
mimi nashangaa kumbe hata ka,a m a chadema wanadai mabadiliko lakini tukiwapa nchi tunaomba mshughulikie mabadiliko ya kifikira kwanza kwa wananchi wote maana mfano tulio nao sasa dhahiri kuna vijana wa chama chenu wanajitokeza hadaharani kuwachafua wabunge wenu hata viongozi wakubwa badala wangekuwa field na vijana wenzao kuongeza nguvu ya kudai uhuru wa mara ya pili kama kweli wameamu a kuingia chadema ya nini hawa vijana NYAKARUNGU,SAANANE,MCHANGE, wawe ndio wakosoaji wakuu wa chama siku hizi tena kila mahali na waziwazi
jamani kwa nini msiende field kuongeza nguvu ya chama au muachane na hicho chama kuliko kutukana mkiwemo?
nimemshuhudia nyakarungu kijana mdogo akipopoa matusi alipoombwa kutoa ufafanuzi wa sakata la mwanza akimtukana WENJE mbunge hadharani bila aibu akamuita wenje ni mbwa wa mbowe!, tumemsikia mwampamba akimtukana SUGU, mb,saanane na mchange wakimtukana huyu heche kila kona mchana kweupe sasa nini faida ya hawa vijana kwenye chama au CHADEMA mna system ya ecological niche kuwa wana umuhimu for territory survival ila NYIE VIJANA WENZAKE NA HECHE ACHENI HASIRA ZENU ZA KUANGUKA BAVICHA NENDENI FIELD
 
dogo heche amekuja vizuri na bavicha yake kwa hoja hizi hata unaibu katibu mkuu jamaa zako sasa wakufikirie unaweza mpaka huku migombaniii!!! Njini sasa hutuliii

hili ni jembe na haya ndiyo matunda ya malezi ya vijana chadema: Safi kijana songa mbele na wengine wanakufuta!!!! huu ndio mfano wa kujenga chama -kamanda field!!!!
 
Back
Top Bottom