promi demana
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 309
- 82
Kweli Heche ni jembe!
Peoples power!
Peoples power!
mkuu kwani ccm wana aibu wale, wanaweza wakatetea hoja kuwa sumbawanga,kigoma,mbeya na iringa ni kaskazini na wakashinda, unachezea vichwa vya akina Ritz,zomba,Tantawi, ecoli and the like! Kile chama ni balaa, eti wamewachagua lusinde na mwigulu ndo waongoze kampeni sumbawanga, akili au matope!?
View attachment 67867umati
wa watu waliofika kwenye uwanja wa kizwite s/m
View attachment 67870 HECHE akisisitiza jambo
View attachment 67871heche akiwa na mh
yamseboView attachment 67872View attachment 67869View attachment 67873
View attachment 67868View attachment 67869 MWENYEKITI
Pamoja sana kamanda asante kwa taarifa.
ZZK yuko wapi? au yeye siyo Kijana!!?? Kweli binadamu ni wa ajabu!! ametosheka mara hii?! Eti Urais!!!
kuna vijana wao huko huko chadema wanamchukia saana huyu kijana mpaka tunashindwa kuwaelewa mwingine anadiriki kupanga hata kumdhuru na ni mwanachadema mwenzao ni kwa niniHeche ni jembe. Safi sana kwa kuendelea kujenga chama. Viongozi wa aina yako ndio tunaotaka hapa nchini. Bravo!
hapa nilipo mimi katika hali isiyokuwa ya kawaida HECHE AMEACHA MALUMBANO SAANA HAPA KWENYE SERIKALI YA MKOA WETU ETI NI KWA NINI WANAENDELEA KUMRUHUSU HUYU KIJANA WA CHADEMA KUPIGA MBIZI HAPA KILA WAKATI NA NI MHARIBIFU ATAWAJAZA UJASIRI WANANCHI HUYU WATU WATAKUWA SI WASIKIVU TENA HAPA SUMBAWANGA MSIMRUHUSU SANA HUYU ATALETA SIASA ZA TARIME,walisikika wakilalama watawala jana jioni simu zikawa too much kwenda DAR mbona chadema wametuwahi na bwana heche ameahidi kupiga kambi hapa mpaka yamsebo aende bungeni
CDM need to go beyond that (nieleweke sio kuacha wanachofanya).Hayo tumeyashuhudia miaka zaidi ya mitano sasa!!
hilo jimbo moja kwa moja ni la chadema tuangalie mengine! hapo ni BAVICHA tu je mbowe-slaa-lissu-mnyika-mdee-nassari-wenje-vincent-msigwa-owenya-na wengine wakitia timu huko itakuwaje??