PICHA :HECHE AITEKA SUMBAWANGA MAELFU WAJITOKEZA KUMLAKI,(yamsebo nikofiti zaidi)

attachment.php

Huyo hapo juu mwenye nguo rangi nyeusi ni Kamanda Yamsembo, Mheshimiwa Mbunge mtarajiwa kupitia CHAADEMA na kwa ridhaa ya Nguvu ya Umma Sumbawanga bila kuchakachua kitu hapa.
 
mkuu kwani ccm wana aibu wale, wanaweza wakatetea hoja kuwa sumbawanga,kigoma,mbeya na iringa ni kaskazini na wakashinda, unachezea vichwa vya akina Ritz,zomba,Tantawi, ecoli and the like! Kile chama ni balaa, eti wamewachagua lusinde na mwigulu ndo waongoze kampeni sumbawanga, akili au matope!?

hapo nilipo bold ndio nimepaona CCM wamechemka vibaya sana
 
attachment.php

Wanabodi JF, kwa mtaji wa umati huu uliojitokeza tu kwende kupokea uongozi wa BAVICHA taifa, hakika NAONA NURU MPYA toka kwa ndugu zetu wa Sumbawanga kuelekea bungeni Dodoma kupitia chama cha kipenzi CHADEMA!!
 
Heche ni jembe. Safi sana kwa kuendelea kujenga chama. Viongozi wa aina yako ndio tunaotaka hapa nchini. Bravo!
 
hapa nilipo mimi katika hali isiyokuwa ya kawaida HECHE AMEACHA MALUMBANO SAANA HAPA KWENYE SERIKALI YA MKOA WETU ETI NI KWA NINI WANAENDELEA KUMRUHUSU HUYU KIJANA WA CHADEMA KUPIGA MBIZI HAPA KILA WAKATI NA NI MHARIBIFU ATAWAJAZA UJASIRI WANANCHI HUYU WATU WATAKUWA SI WASIKIVU TENA HAPA SUMBAWANGA MSIMRUHUSU SANA HUYU ATALETA SIASA ZA TARIME,walisikika wakilalama watawala jana jioni simu zikawa too much kwenda DAR mbona chadema wametuwahi na bwana heche ameahidi kupiga kambi hapa mpaka yamsebo aende bungeni
 
View attachment 67867umati
wa watu waliofika kwenye uwanja wa kizwite s/
m
View attachment 67870 HECHE akisisitiza jambo
View attachment 67871heche akiwa na mh
yamseboView attachment 67872View attachment 67869View attachment 67873

View attachment 67868View attachment 67869 MWENYEKITI
Pamoja sana kamanda asante kwa taarifa.

ZZK yuko wapi? au yeye siyo Kijana!!?? Kweli binadamu ni wa ajabu!! ametosheka mara hii?! Eti Urais!!!
 
Heche ni jembe. Safi sana kwa kuendelea kujenga chama. Viongozi wa aina yako ndio tunaotaka hapa nchini. Bravo!
kuna vijana wao huko huko chadema wanamchukia saana huyu kijana mpaka tunashindwa kuwaelewa mwingine anadiriki kupanga hata kumdhuru na ni mwanachadema mwenzao ni kwa nini
 
Tehe tehe tehe; jamani raha kupendwa na WAHESHIMIWA WAPIGA KURA na kukuamini kwa hiari zao wenyewe bila hata ya kuangushiwa pishi la ubwabwa wa maji wala ile mi-t-sheti kijani ya mgomba ya miaka ya 47 !!!!!!

hapa nilipo mimi katika hali isiyokuwa ya kawaida HECHE AMEACHA MALUMBANO SAANA HAPA KWENYE SERIKALI YA MKOA WETU ETI NI KWA NINI WANAENDELEA KUMRUHUSU HUYU KIJANA WA CHADEMA KUPIGA MBIZI HAPA KILA WAKATI NA NI MHARIBIFU ATAWAJAZA UJASIRI WANANCHI HUYU WATU WATAKUWA SI WASIKIVU TENA HAPA SUMBAWANGA MSIMRUHUSU SANA HUYU ATALETA SIASA ZA TARIME,walisikika wakilalama watawala jana jioni simu zikawa too much kwenda DAR mbona chadema wametuwahi na bwana heche ameahidi kupiga kambi hapa mpaka yamsebo aende bungeni
 
CDM ni mfumo sio mtu fulani, sasa CCM waka tayari. Ule wakati niliukuwa nautegemeea umewadia. Umma unajitanabahisha.
 
hilo jimbo moja kwa moja ni la chadema tuangalie mengine! hapo ni BAVICHA tu je mbowe-slaa-lissu-mnyika-mdee-nassari-wenje-vincent-msigwa-owenya-na wengine wakitia timu huko itakuwaje??
 
Ifike mahali tukubali kuwa Tanzania ya sasa sio ile ya kudanganyana na hili liko wazi hivi kweli chadema ni ya kaskazini au ni ya kidini ina maana hawa wote hapa ni wa kristo.
 
hilo jimbo moja kwa moja ni la chadema tuangalie mengine! hapo ni BAVICHA tu je mbowe-slaa-lissu-mnyika-mdee-nassari-wenje-vincent-msigwa-owenya-na wengine wakitia timu huko itakuwaje??

Its high time vijana wakaongoza hii kampeni mwanzo hadi mwisho na wachukue ushindi. Inabidi waanze kupewa tasks kama hizi na wadelive. Sio lazima kila siku waje Viongozi wa kitaifa. Wanaweza kuja lakini dakika za mwisho kutia chachu tu na kutia ice kwenye cake. Hizi ndo njia muafaka za kutafuta watu wengine wa kuwapa kazi ngumu. Nchi hii ni kubwa wanahitajika watu wengi sana wa kurun the party hasa inapokaribia 2015.
 
Naishukuru sana CCM kwa kumchagua mabingwa wa matusi kuelekea huko Sumbawanga kwa ajili ya kukitetea chama chao...kwangu mimi hiyo ni njema kwani "ngazi ya kupanda kuelekea kwenye mabadiliko ya kweli" iko mikononi mwao, wao ni ngazi imara sana ambayo sina mashaka hata kidogo kuwa CDM itapanda kwa kuwapitia hao jamaa. Mafuriko huwa hayazuiliki.
 
CHADEMA ikibahatika kuwa na watu wengi wenye moyo wa kujituma kama huyu kijana,hakika chama kitapiga hatua kubwa sana.Namkubali sana huyu kijana kwani aliweza kuwa diwani wa Tarime mjini huku akiwa mwanachuo wa SAUT tena kwa kumbwaga kigogo wa ccm anayemiliki mabasi yajulikanayo ZAKARIA
 
Wananchi hao wana hasira sana. Walimchagua Mzee Yamsebo, Pinda akampiga mkwara msimamizi wa uchaguzi. Dogo yule (Aeshi) lazima atakuwa amechanganyikiwa, kwani mwaka 2010 alimpa Yusuf Makamba gari ili jina lake lipittishwe kugombea kupitia CCM. Sasa sijui Makamba atarudisha chenji kidogo!?
 
CHADEMA ikibahatika kuwa na watu wengi wenye moyo wa kujituma kama huyu kijana,hakika chama kitapiga hatua kubwa sana.Namkubali sana huyu kijana kwani aliweza kuwa diwani wa Tarime mjini huku akiwa mwanachuo wa SAUT tena kwa kumbwaga kigogo wa ccm anayemiliki mabasi yajulikanayo ZAKARIA
 
Cdm hakika 2015 kitaeleweka jaman kwa umati huo! In cdm i trust! Kamanda Heche pamoja sana hakuna kulala mpk kieleweke!
 
Back
Top Bottom