PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Nadhani watanzania wanazidi kuelewa vile CHADEMA wanapoita harakati zao kwamba ni za ukombozi. Sasa Policcm wamewanawisha uso watanzania na kuwaondosha kabisa usingizini. Kama tunaua watu ili kufanikisha zoezi la sensa, je, zoezi hilo ni la nini na kwa manufaa ya nani?
Hivi mikusanyiko ya mihadhara na mahubiri ya kidini haina madhara kwenye sensa? Mikutano ya uchaguzi ya CCM, haina madhara kwa sensa?
Mikutano ya ndani ya CHADEMA ndio yenye madhara kwa sensa pekee?
 
Daud%2BMwangosi%2B%2Bkulia%2Benzi%2Bza%2B%2Buhai%2Bwake.JPG

Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake
 
Wewe tukana yooteee mpaka kwa kichina....!!
Ila hekima imekaa kwa mwenye hekima....!!
Usiwe mshabiki tu wa kisiasa, kwani wangekuwa na kibali haya yangetokea?
Ndo maana nakuambia umekaa kishabiki shabiki tu....., kuna mtu alishawahi kutoa mada inayosema tusiwe washabiki hasa kwa wana CDM itatugharimu!! Siyo kila CDM inachofanya ni sahihi......, kuna mahala na chenyewe kina makosa, Sasa hata kama kikifanya kosa tuendelee tu kukitetea ,.... kukosolewa ni lazima!!!!!

" Je wangepata kibali haya yangetokea?....????????????" Hapo ndo hata CCM wanatushinda..
.

Sikiliza ndugu....mimi sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote kile na wala sina mpango huo......kwani ukombozi wa kweli hauko kwenye chama tena cha kisiasa ndo kabisaaaaa hakuna ukombozi wa kweli huko!!!!!

Vua miwani ya kisiasa na uwe huru kwenye fikra then angalia hiyo picha upya ndo utaelewa nini nazungumza hapa!!!!!!

Mauaji ya aina hii hayana mwisho mzuri na ni jambo la kukemewa usiku na mchana....

HESHIMA YA UTU NA MAISHA KWANZA HALAFU HIYO SIASA ITAFUATA KWA WATU KAMA WEWE MNAOAMINI JUU YAKE
 
Ecol
angalia vizuri mkuu hakushika silaha alikuwa ameshikilia kamera yaketu
Ati ndiyo iliyomlipua. Hii aina ya bomu ni la karne ya JK, linachagua mwandishi tu tena akiwa katikati ya polisi akiomba msaada. Marehemu alimkumbatia RPC kwa namna ya kuomba msaada, lakini ajabu RPC ni Bomb proof, hajapata hata mchubuko?!!!!! Lzima hili bomu lilinusishwa harufu ya Daudi.
 
attachment.php

Ni kitu kikubwa kilirushwa ??????​

kwa unyama huuuuuuu

Mungu wangu!!!! RPC AMESHIRIKI KUMWUUA MWANDISHI! ANGALIA UNYAMA HUU! NIMPIGE NANI! JK UKO WAPI? UNATAKA TUUAWE WOTE! OLE WAKO! OLE WAKO KAMA UNYAMA HUU UTAUKOMESHA, HAGUE SIO MBALI! MUNGU AWALAANI!
 
Kama viongozi wa CDM wangewaamrisha wafuasi wao wasikusanyike kutokana na amri ya Polisi yote haya yasingetokea, waliamua kupuuzia maana wanajua tukio lo lote ni mtaji kwao (CDM) kama inavyoonekana sasa. Wangefanya hivyo Arusha, Morogoro na kwingineko yote yasingetokea.Mbona sehemu nyingine wamefanya mikutano yao vizuri??

Pamoja na hayo, MUNGU ailaze pema roho ya marehemu. Ameen.

Sikuelewi Ndugu!!!!
 
THE PENAL CODE
74. Definition of unlawful assembly and riot
(1) When three or more persons assemble with intent to commit an offence or, being assembled with intent to carry out some common purpose, conduct themselves in such a manner as to cause persons in the neighbourhood reasonably to fear that the persons so assembled will commit a breach of the peace or will, by that assembly needlessly and without any reasonable occasion, provoke other persons to commit a breach of the peace, they are an unlawful assembly.
(2) It is immaterial that the original assembling was lawful if, being assembled, they conduct themselves with a common purpose in the manner referred to in subsection (1).
(3) When an unlawful assembly has begun to execute the purpose for which it assembled by a breach of the peace and to the terror of the public, the assembly is called a riot, and the persons assembled are said to be riotously assembled.

What is the justification of the breach of peace that the Police presumed ought to occur?

These people were just clouded, yes, with no permission to assemble...but the law goes further to assert there must be a likelihood of breach of peace.

Okey, they were wrongly assembles, why should you use such a grievous force and deadly war weapons to engage unarmed civilians? Not only unarmed, but a pressman? As seen in the pictures above, the police officer pointing a gun on unarmed pressman, are the rules of engagement providing so? That you can engage unarmed pressman?
 
Wewe tukana yooteee mpaka kwa kichina....!!
Ila hekima imekaa kwa mwenye hekima....!!
Usiwe mshabiki tu wa kisiasa, kwani wangekuwa na kibali haya yangetokea?
Ndo maana nakuambia umekaa kishabiki shabiki tu....., kuna mtu alishawahi kutoa mada inayosema tusiwe washabiki hasa kwa wana CDM itatugharimu!! Siyo kila CDM inachofanya ni sahihi......, kuna mahala na chenyewe kina makosa, Sasa hata kama kikifanya kosa tuendelee tu kukitetea ,.... kukosolewa ni lazima!!!!!

" Je wangepata kibali haya yangetokea?....????????????" Hapo ndo hata CCM wanatushinda...

Kwani huyo mwandishi wa habari ni mwana CDM?.....alikuwepo hapo kuchukua habari kama mwandishi......haijalishi CDM walikuwa na kibali ama hawakuwa nacho.......umefuatilia kwenye vyombo vya habari kwa umakini?......wanavyoreport waandishi wenzie ni kuwa huyo marehemu Daudi(R.I.P) police walimchukua na kumpiga sana kabla ya kumuua kwa bomu.....sasa jiulize yeye anaingiaje hapo kwenye huo mkutano wa CDM?.....wanasema pia kuna mwandishi mwenzie alienda kumwambia RPC kuwa awaambie police wake wasimpige manake huyo ni mwandishi wa habari ila hakufanya hivyo!......Kwanini wasiwakamate hao wana CDM walokuwa wanafanya mkutano bila kibali?
 
Kaka, suala hapa nafikiri sio kuhusu kuandamana bila kibali au kukusanyika bila kibali, sawa wametenda kosa, matumizi ya nguvu za kijeshi za kiasi hicho ni yanini kwa watu wasio na silaha?! Mabomu ya machozi na maji ya kuwasha yangeweza kuwatawanyisha hao raia...hebu angalia mtu alivyoelekezewa mtutu wa bunduki...hana silaha, tena ni mwandishi wa habari...??!!
 
Ok kwa hiyo walikuwa na chuki na hao waandishi wa habari.....?
Swali " Aliwafanya nini mpaka wamchukue wampige na kisha kumlipua?"
Tumefikia pabaya sana...!!
 
Mungu wetu ni mwema...hatauacha kamwe!!!R.I.P kamanda Mwangosi umefia vitani tena mstari wa mbele ukitafuta haki kwa watanzania na vizazi vijavyo.
 
Lakini mmesikia kago-njaa anavyo jaribu kuungopea umma wa waTZ?

Anasema eti marehem alivalishwa mlipuko na alikuwa anakimbilia upande wa polisi kuomba msaada gafla mlipuko ukatokea, wataalamu wa milipuko toka JWTZ na polis wameenda kufanya uchuzi!

Aloooo nimepata hasira kwa huo uongo wa kago-njaa kidogo niivunje TV!

TV gani, taarifa ya saa ngapi
 
Kaka, suala hapa nafikiri sio kuhusu kuandamana bila kibali au kukusanyika bila kibali, sawa wametenda kosa, matumizi ya nguvu za kijeshi za kiasi hicho ni yanini kwa watu wasio na silaha?! Mabomu ya machozi na maji ya kuwasha yangeweza kuwatawanyisha hao raia...hebu angalia mtu alivyoelekezewa mtutu wa bunduki...hana silaha, tena ni mwandishi wa habari...??!!

Itafikia wakati tutaingia msituni...ole wao!! Tukirudi sasa......
 
Ok kwa hiyo walikuwa na chuki na hao waandishi wa habari.....?
Swali " Aliwafanya nini mpaka wamchukue wampige na kisha kumlipua?"
Tumefikia pabaya sana...!!

hata kama amewafanyia kitu kibaya cha kuchukiza, wao ni wakinanani wajichukulie sheria mkononi ya kumpiga bomu? How do u justify killing unarmed pressman?! Hapo wamekosea kaka, kazi yao sio kuua, ni kulinda amani.
 
Ushauri wangu JK,Mwema,Chagonja,Kamuhanda wafikishwe the Hague.
 
Back
Top Bottom