Hata aje malaika kuwa rais mtaendelea kupigwa viboko, ni wepesi sana kudanganyika.You must be out of your senses. I pray almighty God to keep you alive so that you can witness the end of the deadly ones.

Slaa ni mnafiki sana! baada ya kusababisha kifo sasa anaenda kutoa pole ! kama mimi ndio mkuu wa familia namfukuza kabisa,..!sasa awalee hao waototo wanne na mke wake wampe ubunge wa bure kama yule mwanamke alozaa nae wakati akiwa padre!
Picha imenitoa machozi....
..hapo ndo chadema wanapokosea huyu jamaa kauawa kwenye harakati zake za uandishi wa habari na si si uandishi wa chadema,na waangalie sana isije gundulika wakawa wao ndio wamemuua ili polisi waonekane ndio wamemuua..p.i.p mwangosi tutakuenzi kwa yote
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema

kwa kweli hata mimi picha nzima ya kifo cha mwangosi imenitoa machozi. hivi ni binadamu gani anayeweza kuua binadamu mwenzie kwa ukatili kiasi hicho na hasa pale anayeuwawa hana kosa lolote. nguvu iliyotumika ni kubwa sana unnecessarily. rest in peace daudi. i wish aliyehusika ku-trigger risasi naye alipuliwe kwa mtindo huo huo!
Hali kama hii JK roho yake kwatuuuuuuu.
Kwa wenye watoto wajifunze na hili tukio, siasa tuwaachie wanasiasa, leo na kesho unaacha familia yako ikiteseka ilimradi mtu fulani apate cheo.
Mungu amjalie mtoto huyu,atimize malengo yake aliyowekewa na baba yake.inauma sana hasa kwa sisi wazazi.