Nyunyu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2009
- 4,354
- 1,010
Inavyoonekana Mh. Nassari atatoa kura yake kwa William Malecela kwa Ubunge wa East Africa
Malecela kafika Nyumbani kaanza kujitangaza Vizuri
Le Mutus, hilo li suti ni baya, over size na halieleweki!! Najua hizi ndiyo mbinu za kambi yenu, kujifananisha na hali ya wananchi il-hali wizi mtupu!!!
Anyways hongera, kwa huko ulikofika.