Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,122
but kura ni siri ya mtu
Hilo nalo neno. Kicheko hakina uhusiano na kura. Yeye tu ndio ajuae nani atampa kura yake.
but kura ni siri ya mtu
Unachotakiwa kuelezea ni kanuni si wewe kugombea, kwanza nani hata angekufikiria wewe ndani ya CDM? labda kupitia JF.Ofcourse kilichonifanya nisigombee nafasi hii ni kwamba kanuni ni mbovu haziongozi uchaguzi ambao ni objective.Jumuiya ya Afrika mashariki iko katika mchakato wa kurekebisha kanuni hizi ,Unfortunately,mchakato haujakamalika kabla ya uchaguzi huu
wagombea kupitia CCM watapigiwa kura na bunge zima (yaani wapiga kura ni wabunge wa CCM + upinzani)
Halikadhalika wagombea kutoka kambi ya Upinzani yaani CHADEMA,CUF,NCCR,TLP,UDP nk watapigiwa kura na bunge zima (wapiga kura ni wabunge wa CCM+ wabunge kutoka upinzani)
Ina maana nafasi 8 za CCM bunge zima litapiga kura kuwachagua na pia nafasi 1 ya upinzani itapigiwa kura na bunge zima
Ofcourse kilichonifanya nisigombee nafasi hii ni kwamba kanuni ni mbovu haziongozi uchaguzi ambao ni objective.Jumuiya ya Afrika mashariki iko katika mchakato wa kurekebisha kanuni hizi ,Unfortunately,mchakato haujakamalika kabla ya uchaguzi huu
Kwa kanuni hizi utaona wabunge wa CCM hawatapiga kura kwa kuangalia uwezo wa mgombea kutoka upinzani bali wanapiga kura kukomoa chama fulani kwa mfano CHADEMA
Willy Malecela,waambie wabunge kutoka CCM safari hii wawe objective.Historia ya uchaguzi wa EALA mwaka 2006 haiwaweki ccm katika upande bora katika vipaumbele vya taifa na maslahi yetu huko EALA.N
Walimchagua Fortunatus Masha wa TLP ili kuiadhibu chadema ilikuw na mgombea bora (kama kawaida).Mgombea wetu alikuwa Prof.Baregu ambaye mwenyekiti wa CCM kwa kofia ya Urais leo amemuapisha kuwa mjumbe wa Tume ya katiba.Yaani leo prof.baregu anaonekana competent kiasi cha kuaminika kwamba anaweza kusimamia issue nzito yenye maslahi ya kitaifa.lakini mwaka 2006 alikuwa haaminiki,alikuwa below mgombea wa TLP.Angalia unafiki huu wa CCM.Siwachani/sipigi vijembe...huu ndiyo ukweli(calling a spade by it's name)
Mkuu ni kweli ila Mzee Masha siyo wa UDP kweli?
Kanuni ni mbovu kweli kweli. Hapa kuna hatari kubwa kwa CDM kukosa mwakilishi kwenye Bunge la Afrika Mashariki. Pia haiingii akilini kuwa wapinzani wawe na mbunge mmoja tu.
wagombea kupitia CCM watapigiwa kura na bunge zima (yaani wapiga kura ni wabunge wa CCM + upinzani)
Halikadhalika wagombea kutoka kambi ya Upinzani yaani CHADEMA,CUF,NCCR,TLP,UDP nk watapigiwa kura na bunge zima (wapiga kura ni wabunge wa CCM+ wabunge kutoka upinzani)
Ina maana nafasi 8 za CCM bunge zima litapiga kura kuwachagua na pia nafasi 1 ya upinzani itapigiwa kura na bunge zima
Ofcourse kilichonifanya nisigombee nafasi hii ni kwamba kanuni ni mbovu haziongozi uchaguzi ambao ni objective.Jumuiya ya Afrika mashariki iko katika mchakato wa kurekebisha kanuni hizi ,Unfortunately,mchakato haujakamalika kabla ya uchaguzi huu
Kwa kanuni hizi utaona wabunge wa CCM hawatapiga kura kwa kuangalia uwezo wa mgombea kutoka upinzani bali wanapiga kura kukomoa chama fulani kwa mfano CHADEMA
Willy Malecela,waambie wabunge kutoka CCM safari hii wawe objective.Historia ya uchaguzi wa EALA mwaka 2006 haiwaweki ccm katika upande bora katika vipaumbele vya taifa na maslahi yetu huko EALA.N
Walimchagua Fortunatus Masha wa TLP ili kuiadhibu chadema ilikuw na mgombea bora (kama kawaida).Mgombea wetu alikuwa Prof.Baregu ambaye mwenyekiti wa CCM kwa kofia ya Urais leo amemuapisha kuwa mjumbe wa Tume ya katiba.Yaani leo prof.baregu anaonekana competent kiasi cha kuaminika kwamba anaweza kusimamia issue nzito yenye maslahi ya kitaifa.lakini mwaka 2006 alikuwa haaminiki,alikuwa below mgombea wa TLP.Angalia unafiki huu wa CCM.Siwachani/sipigi vijembe...huu ndiyo ukweli(calling a spade by it's name)
Unachotakiwa kuelezea ni kanuni si wewe kugombea, kwanza nani hata angekufikiria wewe ndani ya CDM? labda kupitia JF.
Mkuu hebu nipe orodha ya wagombea toka upinzani kama unayo!
Inavyoonekana Mh. Nassari atatoa kura yake kwa William Malecela kwa Ubunge wa East Africa
Malecela kafika Nyumbani kaanza kujitangaza Vizuri
Mhaini wa katiba ya CDM kama wewe sahau post yeyote CDM.Bahati nzuri kamati kuu chadema wako objective...Haters kama wewe hawatupi pressure! Keep hating.....lol
Mgombea kutoka CHADEMA ni Antony komu.
Asante mkuu.
Kanuni hizi ni mbovu sanazinatoa mwanya kwa vyama kama CCM kuifanyia hila CHADEMA,au NRM kuifanyia hila FDC, au ODM na PNU kenya kufanyiaana hila.Huko Burundi CNDD-FDD hawako nyuma. Rwanda RPF kama kawaida kitakuwa chama cha mwisho kuruhusu mgombea kutoka chama hasimu kisiasa kupenya
Kanuni hizi zinatoa mwanya kwa vyama vyenye wingi bungeni ku-monopolise uchaguzi kwa maslahi yao at the expense of national interest
Hoja hapa ni nadra sana kuangaliwa
Mhaini wa katiba ya CDM kama wewe sahau post yeyote CDM.
Mhaini wa katiba ya CDM kama wewe sahau post yeyote CDM.
Ben Unachonichanganya ni kitu kimoja.
Wewe unakubali kabisa kwamba Upatikanaji wa Wabunge hawa hauna taswira ya kupata watu ambao wanapigania interests za Taifa, hata kama taratibu zitabadilishwa, sitegemei yanapokuja maswala ya mahusiano yetu na mataifa mengine tuendelee kuwa na wajumbe kutoka chama tawala na wengine kutoka upinzani.
Lakini sielewi ni kwa nini bado unaendelea kuona kwamba Kuingia kwenye hii federation kutakuwa na manufaa yoyote kwa Taifa, sikuelewi kabisa, kwamba kitu bora kitapatikana kutoka kwenye kitu dhaifu. Ndio maana kuna wakati natafuta writings zinazoelezea politcs is a dirt game. it could be possible.

He is out by default, technicalities zimemondoa hana sifa zinazotakiwa,Hee hayumo kwenye kinyang'anyiro? Nani kamuengua?
mi nimeipenda hiyo picha ya huyo afande anayepita nyuma kidogo ya hao waheshimiwa!!!inaonekana kachoka,sijui nini kimemchosha mwili na roho kiasi hicho!!!
Naona wengi hawamjui huyu Ben, kifupi hana cheo chochote ndani ya CDM ni ujanja ujanja tu wa mjini, alijaribu kugombea Uenyekiti BAVICHA akataka kuingiza u-radical wake ndani ya chama wazee wakamwondoa, kifupi hatakiwi ndani ya chama anajipendekeza tu kwa sifa za JF.Nashindwa kuelewa kwa nini munamuona Ben kama muhaini kwa sababu kuna kipindi hapa alikuwa anatoa advert zake za M4C na patriotic nature kwa youth akiwaasa vijana kufanya radical change kukomboa nchi yao ,hatujakaa sawa naona chama chake wamechukua concept yake na sasa naona wameifanya political agenda mpaka wakaifungua rasmi hiyo concept pale Naura Spring na nimesoma kwenye jukwaa hili kwamba ndio kazi atafanya Lema na chopa yake
Kama mtu anatoa mawazo na chama kinakubaliana na mawazo ya aina hiyo uhaini wake unatokea wapi
Walioenguliwa katika uchaguzi huo ni Greyson Nyakarungu, Mwampamba na Bernard Saanane
"Ndugu yangu napenda kusema kuwa chama hiki sasa kinaenda pabaya walitafuta kila njia ya kuwamaliza vijana na njia waliyoipata ni kuwatutafutia tuhuma zitakazowafanya waondoke katika kuwania nafasi hiyo...lakini tulipigana na ikashindikana," alisema mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo.(???????) who is this?????
"Tuhuma nyingine iliyoelezwa ni wagombea hao kutaka kupindua chama hicho kwa kuhamisha agenda za chama hicho na wengine walihofiwa kuwa ni usalama wa taifa," kilisema chanzo chetu.
Akizungumza na majira jana akiwa katika uchovu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa, pamoja na kutotaka kuzungumzia tuhuma hizo za rushwa kwa undani akisema "mengine yanahitaji maamuzi ya juu", alisema kuwa wagombea hao watatu walioenguliwa baada ya kuthibitisha kuwa wamekwenda kinyume na katiba na kanuni za chama, kifungu cha 10, wamekiri pia kuwa wao walijihusisha kutengeneza agenda ya BAVICHA.
"Sasa hilo ni suala kubwa agenda ya BAVICHA ni suala la mkutano na haliwezi kuwa la wao watatu lakini walibainika kujihusisha na kundi la Bw. Habib Machange ambapo ilibidi chama kiingie gharama ikiwemo wajumbe wa kamati hizo kufanya kazi tangu saa saba usiku wa juzi mpaka asubuhi jana na baadhi ya wajumbe walishindwa kurejea kwao," alisema Dkt. Slaa.
Kila wanaokupinga lazima uwaite haters, nafikiri una tatizo.Bahati nzuri kamati kuu chadema wako objective...Haters kama wewe hawatupi pressure! Keep hating.....lol
Mgombea kutoka CHADEMA ni Antony komu.