Picha bora zaidi zinazopendwa na Wananchi katiak Utawala wake Mheshimiwa Rais.J.K.

kwa mtoto huo ni ujiko mkuu...hebu fikiria ukiwa bado chalii halafu upewe peremende na Nyerere au Mwinyi au wale magavana wa Kiingereza enzi hizo...

hayo si mawazo yangu hapo juu bali najaribu kufikiria msukumo haswa wa JK kufanya hivyo kugawa peremende huko alikozuru wakati huo...

Kwa haraka haraka utajua tu kuwa ndani ya gari lake hilo alikuwa na furushi la pipi mahsusi kwa ajili ya kuwapa watoto wataona fahari kuwa wamegawiwa peremende na mkuu wa nchi...

Kweli kabisa ndio maana wazazi wao wanawapigia kura eti tu wamepewa pipi na mkuu wa nchi ila kwa sasa naamini wanajitambua hawatadanganywa na vitu vidogo
 
Back
Top Bottom