Picha bora zaidi zinazopendwa na Wananchi katiak Utawala wake Mheshimiwa Rais.J.K.

8D6U9682kikwetenapipi.jpg

Huzi dharau!!!!
 
Anawahurumia kwa kuwashika mikono, huku upande wa pili akikwapua mil 200 kwa siku. Kwa kiasi hiki cha fedha, maskini hao wasingeishi kwa mlo mmoja kwa siku. Na kwa kiasi hiki cha fedha, baada ya miaka michache sana, kila mkulima Tanzania angekuwa na trekta .
 
Je amewatatulia matatizo yao?
Au ndio anang'ata na kupuliza?
Huo utakuwa n ufupi wa fikra kumsifia kuongea na kukaa na vilema wakat hajawatatulia shida zao. Bado wanaishi maisha ya kuganga
 

Hivi huwa wanaandaliwa kukutana na rais ama huwa wanagongana tu accidentally?

Then what next baada ya mazungumzo na hizo picha maana lazima tu huwa wanamweleza shida zao?


Kwa kawaida viongozi wetu mambo yanaishia pale pale mlipokutana, kama umepewa pipi hiyo ndio bahati na ujue imetoka...........unakumbuka ile Mh Mkapa alipita huko Kisarawe akakuta sehemu jamaa kaandika Mtaji wa Maskini ni nguvu zake Mwenyewe akampa Milioni moja.........hali ipo hivyo.
 
Huzi dharau!!!!

kwa mtoto huo ni ujiko mkuu...hebu fikiria ukiwa bado chalii halafu upewe peremende na Nyerere au Mwinyi au wale magavana wa Kiingereza enzi hizo...

hayo si mawazo yangu hapo juu bali najaribu kufikiria msukumo haswa wa JK kufanya hivyo kugawa peremende huko alikozuru wakati huo...

Kwa haraka haraka utajua tu kuwa ndani ya gari lake hilo alikuwa na furushi la pipi mahsusi kwa ajili ya kuwapa watoto wataona fahari kuwa wamegawiwa peremende na mkuu wa nchi...
 

Hivi huwa wanaandaliwa kukutana na rais ama huwa wanagongana tu accidentally?

Then what next baada ya mazungumzo na hizo picha maana lazima tu huwa wanamweleza shida zao?


Rais ni taasisi, hivyo haiwezekani tukio litokee kwa kushitukiza, kuna protokali na mipango, hivyo timu ya Rais lazima iwe imejiridhisha na kukutana huko. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako, Bye!!!
 
Back
Top Bottom