Photographers' Corner

screen shot of my Laptop 2010

73396_10150286493855523_670195522_15489889_2655805_n.jpg
attachment.php
 
screen yako matata mkuu, nimeipenda
Screen yake iko busy sana, hapo katika vikolombwezo vyote nina Xirrus na hiyo digital clock tu.

Mkuu nimependa sana hizo HDR shots ulizweka za Dubai na sunsets.
 
Hii picha nilipiga eneo moja Afrika Kusini, ni barababara inayoelekea kanisa lilojengwa zamani zaidi la Presbyterian nchini humo. Liko Eastern cape, nilipenda namna barabara ilivyoonekana hapa. IMG_0093.JPG
 
fantastic picture.................. ukiona vizuri kwa uangalifu ile cloud kubwa ina shape ya AFRICA slightly ime bend ........ keep it up!!
 
Moshi Town.jpg
Hii ni ya Moshi mjini nilipiga nilipopita hapo mwaka jana,nilipiga kwa simu!! Nikiwa navuka tokea upande ilipo NBC bank
 
Picha nzuri sana!...ila nadhani inaficha a major component of a city,that is it's people.
Aliyepiga picha yuko kama mimi hatupendi kuinclude people in our photos ndio maana tunaresort kwenye cityscapes and whatnot.
 
Wakuu napenda sana kupiga picha, Ni camera gani nzuri ambayo inaweza kutoa prof standard images; bei around laki8 za bongo, isiwe kuubwa kama mnazotumia nyie mnaopiga picha kama kazi. Hizi easyshare hazina kiwango kabsaa!
 
298010cd91724a0cef0e6a706700b5ff.jpg 08ee28fea6b5650cef0e6a7067009ee0.jpg
Hali kama hii ingetokea ile tar 21/05 iliyotabiriwa kuwa ndo mwisho wa dunia, ingekuwaje?
Basi hii imetokea some days later huko kusini mwa Australia. Kuna nchi ndogo ipo huko ambayo nimesahau jina lake. Hii ni volcanic eruption. One day na sisi ile yetu ya Oldoinyo itafanya mambo kama haya. Sijui itakuwaje na vile hatana means za uokozi.
 
Back
Top Bottom