Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
- Thread starter
- #81
Well unaweza kutumia point and shoot camera ambayo iko kama DSLR lakiini ukitaka picha zenye quality nzuri basi DSLR camera ndio suluisho pekee unfortunately zote ni kubwa.Wakuu napenda sana kupiga picha, Ni camera gani nzuri ambayo inaweza kutoa prof standard images; bei around laki8 za bongo, isiwe kuubwa kama mnazotumia nyie mnaopiga picha kama kazi. Hizi easyshare hazina kiwango kabsaa!