Philipines Duterte terminates relations with US, joins China & Russia

Mbona hakujibu wewe??? By the way...are you Koba? You probably replied without reading his comment!!!
Mkuu una uhakika naunachokisema kwamba na reply bila kusoma comments zake?umeshaipitia hii thread toka mwanzo?Au kwakua unaona nachangia kwa lugha ya kiswahili basi mnajua lugha ya malkia imenipita kushoto?
 
Sina maana hiyo! Nimekujibu hivyo kwa kuwa alikuwa amemtaja jina jamaa...na hata wewe bila shaka umeona comment za Koba, ambaye ndiye aliyetajwa na jamaa! Ndiyo maana nikakuambia vile. Pia kama sivyo, wewe na huyo unayesema mnajibizana majibu...mbona mnaonrkana kuwa upande mmoja na mitazamo inayofanana? Hitimisho...kusiwe na mabishano zaidi mkuu! Asante.
 
Mkuu nimekuelewa,ilo jambo lakujibizana najamaa tunamtizamo moja ata Mimi nilishangaa kwanini imetokea hivyo wakati wote tuna idea moja.Thus why baada yajamaa kuniqoute nilijaribu kumuelewesha tena labda hakua amenielewa kwenye comment yangu yamwanzo
 
Back
Top Bottom